JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Hatuheshimu ndevu, hata kidevu!

“Huyu ni mpiganaji kama sisi. Lakini bunduki yake ni tofauti na zetu. Bunduki yetu inaweza kuua askari mmoja kwa wakati mmoja, na mlio wake hausikiki hata Mueda. Lakini bunduki yake (kalamu) inaua maadui wa uhuru kwa mamilioni duniani kote na…

Kushitaki askari wabambika kesi

Imekuwa ni kawaida watu kubambikwa kesi hapa nchini. Mara nyingi matendo haya yamekuwa yakifanywa na watu wenye uwezo kifedha dhidi ya wasio na fedha pia kati ya maofisa wa polisi na raia.   Mtu kwa sababu ana pesa au cheo, anaweza…

Nani awafute machozi wamiliki wa daladala?

Kwanza nianze kwa kuwasalimu na kuwapa hongera kwa kipindi hiki cha kampeni za Uchaguzi Mkuu. Najua mashabiki na wafuasi wa wagombea, presha zinapanda na kushuka kila siku. Nawatakia heri kwa kuwa maisha yataendelea hata baada ya Oktoba 25, sisi wa…

Asante Azam Media, Samatta

Huu ni msimu wa tatu tangu Azam Media waanze kuidhamini Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Udhamini huo wa Azam Media Group umesaidia kunogesha msisimko wa michuano hiyo kwa kufanya timu nyingi kuwa katika mkao wa kiushindani, tofauti na misimu…

Lubuva moto

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva, amesema wanaodhani atakipendelea Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye utangazaji matokeo ya Uchaguzi Mkuu, wanajidanganya. Amesema yeye ni mtu mwenye msimamo usioyumba na hawezi kuzuia uamuzi wa watu kwenye…

Dimbwi halisababishi mafuriko

Mafuriko  ni wingi wa maji uliopitiliza, wingi huo wa maji hutokana na nguvu za asili. Hakuna mwanadamu awezaye kuyatengeneza mafuriko kama ilivyo vigumu kwa kuyazuia, hakuna awezaye kuyazuia mafuriko. Hiyo ni nguvu ya asili.  Pamoja na ujanja wote wa binadamu…