Latest Posts
Hatuiaibishi Mahakama bali tunaijengea uwezo
Wiki iliyopita Jaji Kiongozi, Fakihi Jundu, ametoa taarifa ndefu kwa vyombo vya habari akilishambulia Gazeti la JAMHURI. Mashambulizi ya Jaji Kiongozi yalijielekeza katika msingi kwamba JAMHURI imekuwa ikifuatilia kazi za Mahakama, tena si kwa uzuri bali kwa kutafuta mabaya yanayofanywa ndani ya Idara hiyo.
MAANDIKO YA MWALIMU NYERERE
‘Kutegemea kubaya kupita kote ni kutegemea mtu mwingine kwa mawazo
Katika sehemu iliyopita, Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alisema hata angekuwa anafuata sera za kibepari, angejenga viwanda. Anasema mabepari ndiyo walioanza kujenga viwanda, na viwanda vyenyewe havikuwa na sera. Ifuatayo ni sehemu ya hotuba ya Mwalimu aliyoitoa katika kilele cha Sherehe za Mei Mosi, mwaka 1995 mkoani Mbeya.Juzi
Rais Kagame si wa kumwamini sana
Makala iliyopita ya “JWTZ nginjangija Goma hadi Kigali’, imenifumbua macho. Nimepata simu nyingi na ujumbe wa maandishi usio idadi. Wapo waliotumia lugha kali, lakini wengi walikuwa waungwana. Hiyo ndiyo raha ya mijadala. Kuna wakati tunaweza kukubaliana kwenye baadhi ya mambo, na wakati mwingine tusikubaliane kwa hoja fulani fulani. Muhimu ni kujenga moyo wa uvumilivu na staha.
Sote tukiwa waoga nchi itayumba
Ni kosa kubwa kwa mtoto wa Kizanaki kumtamkia mtu aliyemzidi umri neno ‘mwongo’. Hawa ni tofauti na makabila mengine, mathalani Wajita. Wao mtoto ana uhuru na haki ya kumtamkia mzazi au mtu aliyemzidi umri neno ‘mwongo’. Wakati Mzanaki atapambana kumnasa vibao mtoto anayeamini kamtukana, mzazi wa Kijita atafanya juhudi za kupambana kwa hoja kumthibitishia mtoto yule kwamba yeye (mkubwa) si mwongo. Hizo ni tofauti za wazi kwa makabila hayo mawili.
Messi alipa faini ya kukwepa kodi
Nyota wa timu ya soka ya Barcelona na timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi pamoja na baba yake mzazi wamelipa euro milioni tano, sawa na dola milioni 6.6 za Marekani, baada ya kubainika na kosa la kukwepa kodi. Messi na mzazi wake huyo walidaiwa kukwepa kulipa kodi hiyo ya serikali kwa njia za ujanjaujanja.
Kambi ya upinzani walitoka na hoja zao
Wiki iliyopita, Mkutano wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulikuwa na vibweka na vimbwanga vingi vyenye kuacha kinywa wazi kwa mshangao na hamaki kwa mtu yeyote makini mwenye kuujali mustakabali mwema wa nchi yake.
Hata hivyo, pamoja na vibweka na vimbwanga vilivyotokea kwenye kikao hicho, ukweli unabaki kuwa kilikuwa kikao chenye moja ya miswada muhimu yenye kipekee unaokwenda kuweka jiwe jipya la msingi kwa Tanzania tunayoihitaji kuijenga kwa miaka 50, au hata 100 ijayo.
- Wanafunzi waliokuwa wakishikiliwa kwa tuhuma za mauaji wameachiwa huru
- Serikali yatoa mwongozo wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2026
- Akwilapo asisitiza maeneo ya umma kupimwa na kulindwa kuepuka uvamizi
- Iran yatangaza kuufunga mlango Bahari wa Hormuz
- Zelenskiy : Trump ananishinikiza kupita kiasi
Habari mpya
- Wanafunzi waliokuwa wakishikiliwa kwa tuhuma za mauaji wameachiwa huru
- Serikali yatoa mwongozo wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2026
- Akwilapo asisitiza maeneo ya umma kupimwa na kulindwa kuepuka uvamizi
- Iran yatangaza kuufunga mlango Bahari wa Hormuz
- Zelenskiy : Trump ananishinikiza kupita kiasi
- Dk Dugange : Ushirikiano SJMT, SMZ ni nguzo hifadhi ya mazingira
- THBUB yafika kijiji cha Dunga kuwapa elimu ya haki za binadamu
- Mtambo wa oksijeni waokoa maisha ya wananchi Lushoto
- Dk Mwigulu : Nikiondoka baadhi ya mawaziri wanabaki Tanga
- TRC yaanza rasmi usafirishaji mizigo kwa kutumia container carriers SGR
- Tume ya Uchunguzi yakutana na Waziri wa Mambo ya Nje
- Polisi watinga Ofisi za CUF Buguruni, Sakaya apinga uamuzi wa msajili
- Wajasiriamali Jimbo la Mtumba kukopeshwa bilioni 2 za mtaji
- Dk Mwigulu : Serikali itaendelea kuiboresha Bandari ya Tanga ili kukidhi ushindani
- Serikali yazindua awamu ya kwanza ya mradi wa kupeleka nishati safi ya kupikia