JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Machinga Dodoma wampongeza Rais Samia kwa ujenzi wa soko la kisasa

▪️Ni soko kubwa la kipekee la Machinga Complex ▪️Machinga Wanawake Dodoma wazindua Umoja wao ▪️RC Senyamule ataka Jiji kuongeza maeneo ya kufanyia biashara ▪️Mbunge Mavunde awataka Machinga Dodoma kuchangamkia Mkopo wa Bilioni 7 za Jiji Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma…

Bunge lapitisha kwa kishindo bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na teknolojia ya trilioni 2.4

Na Mwandishi Wetu, JammhuriMedia, Dodoma Kwa kauli moja leo tarehe 13 Mei 2025 Bunge la Tanzania limepitisha kwa kishindo bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Taasisi zake kwa mwaka 2025/2026 yenye jumla ya shilingi Trilioni 2.439 Bajeti…

CoRI yakutana na kujadili mpangokazi kuelekea uchaguzi mkuu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI) umekutana kujadili masuala muhimu matatu, likiwemo kusaini makubaliano ya kiutendaji (MoU) yanayolenga kuimarisha kazi za umoja huo kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu. Katika kikao hicho, CoRI…

Pinda : Msikubali kuhaidiwa na viongozi wanaotafuta madaraka kwa kuta rushwa

Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda ametoa mwito kwa wananchi wasikubali kuhadaiwa na viongozi wanaotafuta madaraka kwa kutoa rushwa. Alisema hayo jana wakati akitoa salamu za pole kwa familia ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, Cleopa…

Dk. Malasusa : Hayati Cleopa Msuya alikuwa mtu wa amani na hekima

Na Kija Elias, JamhuriMedia, Mwanga Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Alex Malasusa, amemzungumzia hayati Cleopa Msuya kama mzee wa hekima, busara, na upendo, ambaye alijitahidi kuwa na amani na watu wote. Dk. Malasusa alisema…

Askofu Mono: Shikeni na kuyaenzi mambo makuu manne aliyoyaacha Msuya

Askofu mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mwanga, Daniel Mono amewataka wananchi wa Wilaya ya Mwanga kuyashika na kuyaenzi mambo makuu manne aliyoyaacha Cleopa Msuya. Askofu Mono amesema Wilaya ya Mwanga ilipata kiongozi na mbunge…