Latest Posts
JWTZ: Hizi ni rasharasha
*Wasubiri wenzao A. Kusini, Malawi zianze za masika
*Kamanda: Matumaini ya Wakongo ni makubwa mno
*Waziri wa Ulinzi asema hali za vijana nzuri
Brigedi ya Jeshi la Umoja wa Mataifa (UN) la Kulinda Amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO) inayoongozwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ipo salama na inajiandaa usiku na mchana kuhakikisha amani inarejeshwa katika eneo hilo.
Habari za uhakika zinaeleza kwamba operesheni rasmi inatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu baada ya vikosi kutoka Afrika Kusini na Malawi, kuungana na wenzao wa JWTZ ambao tayari wapo eneo hilo.
JWTZ: Hizi ni rasharasha
*Wasubiri wenzao A. Kusini, Malawi zianze za masika
*Kamanda: Matumaini ya Wakongo ni makubwa mno
*Waziri wa Ulinzi asema hali za vijana nzuri Brigedi ya Jeshi la Umoja wa Mataifa (UN) la Kulinda Amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO) inayoongozwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ipo salama na inajiandaa usiku na mchana kuhakikisha amani inarejeshwa katika eneo hilo. Habari za uhakika zinaeleza kwamba operesheni rasmi inatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu baada ya vikosi kutoka Afrika Kusini na Malawi, kuungana na wenzao wa JWTZ ambao tayari wapo eneo hilo.
Wauza ‘unga’ waanza kutajwa
Wakati Watanzania wengi wakiwa wameamua kuwaanika hadharani nguli wa biashara ya dawa za kulevya, Balozi wa Tanzania nchini China, Philip Marmo, naye amepasua ukweli wa mambo akisema hali inatisha.
Watu 10,262 wakacha ARVs
Watu 10,262 wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi (VVU) na Ukimwi mkoani Mwanza, hawajulikani waliko kwa zaidi ya miezi mitatu sasa baada ya kutohudhuria kliniki ya kutoa dawa hizo.
Jeshi la ‘bodaboda’ latembeza mkong’oto wilayani Geita
Jeshi lisilo rasmi la vijana zaidi ya 60 wanaofanya kazi ya kubeba abiria kwa kutumia pikipiki (bodaboda), huku wakiimba kibwagizo cha ‘wapigwe tu’, wameteka mtaa na kutembeza kipigo kikali kwa abiria wao mmoja.
MAUAJI YA BARLOW
Malele aendelea kuteseka Muhimbili
Maendeleo ya matibabu ya Mohamed Malele aliyetangaza siri za mtandao unaodaiwa kuhusika kumuua Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, ni kitendawili.
- Kamati ya Bunge yaita wawekezaji ujenzi wa vituo vya gesi asilia iliyoshindiliwa CNG
- Dk Mwigulu aipa Wizara ya Maji wiki mbili
- Umoja wa Mataifa wataka mkataba wa amani Gaza uwe wa kudumu
- CCT yapongeza juhudi za Serikali kujenga mahusiano
- Akwilapo aongoza kikao cha kutatua changamoto za mashamba ya uwekezaji Muheza
Habari mpya
- Kamati ya Bunge yaita wawekezaji ujenzi wa vituo vya gesi asilia iliyoshindiliwa CNG
- Dk Mwigulu aipa Wizara ya Maji wiki mbili
- Umoja wa Mataifa wataka mkataba wa amani Gaza uwe wa kudumu
- CCT yapongeza juhudi za Serikali kujenga mahusiano
- Akwilapo aongoza kikao cha kutatua changamoto za mashamba ya uwekezaji Muheza
- EACOP yakabidhi karakana na vifaa vya mafunzo katika chuo cha Don Bosco Dar es Salaam
- Washiriki Wizara na Taasisi wapigwa msasa kuhusu mfumo wa NLMIS
- Mwigulu awataka wananchi Same kutunza miundombinu
- Kazi za majumbani kutambulika rasmi kama ajira yenye staa
- DC Dodoma aridhishwa na maendeeo ujenzi uwanja wa ndege Msalato ‘Ring Road’
- Wasira ateta na mama Maria Nyerere
- Tanzania ya kidigitali yaandika historia mpya sekta ya mawasiliano
- Wanafunzi waliokuwa wakishikiliwa kwa tuhuma za mauaji wameachiwa huru
- Serikali yatoa mwongozo wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2026
- Akwilapo asisitiza maeneo ya umma kupimwa na kulindwa kuepuka uvamizi