Latest Posts
‘Waliogawa mbegu mbovu Korogwe wakamatwe’
Katika kukomesha vitendo vya hujuma zinazofanywa na watendaji kwa wananchi, Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo, amemwagiza Mkuu wa Polisi wilayani, Madaraka Majiga, kuwakamata watumishi wa Idara ya Kilimo waliosambaza mbegu mbovu za mahindi kwa wakulina na hivyo kuwasababishia hasara.
Tujifunze uzalendo, uchapaji kazi wa Wamarekani
Mwaka 2004 nilipata fursa ya kuzuru maeneo kadhaa nchini Marekani kwa muda wa takribani mwezi mmoja. Ilikuwa ziara nzuri. Nilijifunza mengi. Wasafiri wanasema kama hujafika Marekani, hujasafiri. Kauli hii inaweza kuwa ya kweli kwa sababu kuna mengi ya kustaajabisha na kutafakarisha – kuanzia kwenye maendeleo hadi tabia zao.
Mashabiki wa upinzani wajitazame upya
Tanzania ya leo inafuata mfumo wa vyama vingi. Katikati ya mfumo wa vyama vingi Watanzania wamegawanyika katika makundi makuu matatu.
fikRA YA HEKIMA
Watanzania na imani potofu ziara ya Obama
Ziara ya Rais wa Marekani, Barack Obama, hapa Tanzania imenilazimu kuleta mada hii mapema tofauti na nilivyokusudia awali. Watanzania wengi wamezungumza ya moyoni mwao kuhusu ugeni huu.
Familia ya Barack Obama ni wanamichezo mahiri
Rais wa Marekani, Barack Obama, mke wake, Michelle, watoto wao, Malia na Natasha (Sasha) ni familia ya wanamichezo mahiri.
Barack Hussein Obama ni nani?
Barack Hussein Obama alizaliwa Agosti 4, 1961. Ni Rais wa 44 na Rais wa sasa wa Marekani. Ni Raia wa Marekani na Rais wa kwanza mwenye asili ya Afrika kushika wadhifa huo. Pia ni mtu wa kwanza aliyezaliwa Hawaii kushika nafasi hiyo.
Habari mpya
- Mzabuni Manyoni kizimbani kwa tuhuma za kutoa nyaraka za uongo na kughushi
- DC Bunda awaasa wadau sekta ya afya kutoa ushirikiano kwa TAKUKURU
- Mbunge wa Tunisia afungwa miezi nane jela kwa kumdhihaki rais
- Mwadhamana Polycarp Kardinali Pengo 1994- 2026
- TIRDO yapongezwa, yaagizwa kujitangaza zaidi
- Saba wafikishwa mahakamani kwa tuhuma za dawa za kulevya Same
- Australia yatoa bil. 15/- kunufaisha kampuni na mashirika ya uzalishaji yanayochipukia Tanzania
- CCM yatuma salamu za rambirambi kifo cha Kardinali Polycarp Pengo
- Polisi yawashikilia wanne kwa tuhuma za mauaji ya waendesha bodaboda Tabora
- Sangu : Mawakala wa ajira binafsi zingatieni mwongozo
- DED Regina: Hakuna wanafunzi wanaosoma kwenye madarasa yaliyoezuliwa paa Kibaha
- Prof. Shemdoe aelekeza kusimamishwa kazi watumishi 14 wanaotuhumiwa kwa ubadhirifu wa fedha Muheza
- Dk Mwigulu aitaka Wizara ya Fedha kuwezesha miradi ya barabara zilizosainiwa
- Dk Mwigulu : Msipore ardhi za wananchi kwa kigezo cha uwekezaji
- Rais Samia amlilia askofu Pengo, mchango wake katika malezi ya kiroho utaenziwa