Latest Posts
Haya Hapa Magazeti ya Leo Disemba 8, 2017
Kam upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Ijumaa Disemba, 8, 2017 nimekuekea hapa.
WAZIRI MKUU AFUNGUA JENGO LA UMOJA WA MATAIFA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua ofisi ya Umoja wa Mataifa na kusema uamuzi huo ni hatua muhimu ya kuendeleza mchakato wa Serikali wa kuhamia Dodoma. Ametoa kauli hiyo leo mchana (Alhamsi, Desemba 7, 2017) wakati akizungumza na viongozi na watumishi…
WAZIRI MKUU AMALIZA MGOGORO WA LOLIONDO
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemaliza mgogoro wa matumizi ya pori tengefu la Loliondo ambao umedumu kwa takriban miaka 26. Hatma hiyo imefikiwa jana (Jumatano, Desemba 6, 2017) kwenye kikao kilichoitishwa na Waziri Mkuu ofisini kwake Mlimwa, Manispaa ya Dodoma…
Maagizo 14 ya Naibu Waziri TAMISEMI Mh. Josephat Kandege kwa Tawala za Mikoa
Naibu Waziri wa Tamisemi Mh. Josephat Sinkamba Kandege ametoa maagizo 14 kwa Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wote Tanzania bara ili kuboresha upatikanaji bora wa huduma za kijamii katika maeneo yao na kuondoa changamoto zilizopo. Ametoa maagizo…





