Latest Posts
Kipande abanwa Bandari
Yah: Tusichezee lugha yetu, wengine wanajuta
Wakati tunatawaliwa, wakoloni wote kwa awamu zao yaani Wajerumani, Waingereza na hata Wareno na Waarabu, wakati wakipita kwa biashara zao sisi Wazaramo na Wandengereko tulikuwa tunawasiliana kwa shida sana. Kuna wakati tulikuwa tunatumia lugha ya alama kuwasiliana. Baada ya kuanza…
Fedha zako ni kipimo cha imani yako
Nianze kwa kuwasalimu wasomaji wetu. Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu mchakato wa Katiba mpya, lakini ninasikitishwa na namna mwenendo wa Bunge hilo ulivyo.
Wiki iliyopita tumeshuhudia mgogoro wa kimakundi uliosababisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kususia vikao vya Bunge Maalum la Katiba.
Binafsi ninaamini kuwa pande zote zitakaa chini na kufikia mwafaka ili Taifa letu lipate Katiba mpya.
Sasa tuendelee na uchambuzi wa leo unaohusu uhusiano wa imani zetu na umilikaji fedha.
Tangu lini wapinzani wanawapenda wananchi?
Vyama vya upinzani vilivyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) katika Bunge Maalum la Katiba vimesusia vikao vya bunge hilo tangu Aprili 16, mwaka huu.
Wapinzani wametoa sababu zao za kuchukua hatua hiyo. Kwa mfano, wamesema Rais Jakaya Kikwete na Waziri wa Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi, wametoa vitisho kwamba kukiwapo Serikali tatu Jeshi litachukua nchi.
NUKUU
Mwalimu Nyerere: Tudhibiti tofauti za maskini, matajiri “Tofauti kati ya watu maskini na watu matajiri zinaongezeka Tanzania. Inafaa tuwe macho. …lazima tuendelee kutumia Sheria za Nchi, na mipango mbalimbali ya Serikali, kuona kuwa tofauti hizi hazifikii kiasi cha kuhatarisha umoja…
Nani analinda bodaboda Dar?
Moja ya mambo yaliyomfurahisha Mkata Mitaa (MM) ni hatua iliyochukuliwa na Serikali kupiga marufuku pikipiki maarufu kwa jina la ‘bodaboda’, mikokoteni (makuta), baiskeli na bajaj kuingia katikati ya jiji la Dar es Salaam.
MM amefurahishwa na mpango huo kutokana na boda boda kuwa kero kwa waendesha magari na waenda kwa mguu wanaotumia barabara za katikati ya jiji.
- Watu 85 wakamatwa kwa uzushi wa kuibiwa nyeti, watatu waenda jela miezi sita
- Misaada ya maendeleo yapungua kwa asilimia 23.1 mwaka 2025
- Msajili vyama vya siasa ateta na Rais wa zamani wa Malawi Chakwera
- Doris Mollel umestahili tuzo ya WHO, umeokoa maisha ya wengi
- TBL yatoa wito wa hatua za pamoja za kukabiliana na hatari za pombe haramu Tanzania
Habari mpya
- Watu 85 wakamatwa kwa uzushi wa kuibiwa nyeti, watatu waenda jela miezi sita
- Misaada ya maendeleo yapungua kwa asilimia 23.1 mwaka 2025
- Msajili vyama vya siasa ateta na Rais wa zamani wa Malawi Chakwera
- Doris Mollel umestahili tuzo ya WHO, umeokoa maisha ya wengi
- TBL yatoa wito wa hatua za pamoja za kukabiliana na hatari za pombe haramu Tanzania
- Jaji Masaju : Usuluhishi njia halali ya upatikanaji haki
- Mikopo ya Bilioni 2.6/- yatolewa na Halmashauri ya Jiji la Arusha
- CCM Kibaha Mjini yashirikiana na RITA kusogeza huduma kwa wananchi
- Serikali yaboresha ufanisi wa uingizaji bidhaa za afya kwa kuunganisha mifumo
- Hemed : Katangulizeni maslahi ya Tanzania
- Samamba atoa wito GST kuboresha mazingirea ya kazi, kuimarisha ushirikiano
- Rais Dk Mwinyi : Zanzibar kuimarisha ushirikiano na WHO katika kuboresha sekta ya afya
- Taasisi za umma zatakiwa kufanya mapitio ya sera, sheria na kanuni zinazokinzana ili kuboresha mnyororo wa ugavi
- Tanzania yaeleza mafanikio na fursa za uwekezaji sekta ya makazi katika kongamano la miji Afrika
- Rais wa zamani wa Malawi Chakwera akutana na Waziri Kombo