JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Hali ya umeme Arusha yazidi kuimarishwa

๐Ÿ“ŒNi kufuatia upanuzi wa Kituo cha kupoza umeme cha Njiro ๐Ÿ“ŒKituo chafungwa transforma yenye MVA 210 kutoka MVA 90 ya awali ๐Ÿ“ŒDkt. Biteko aipongeza TANESCO kuendelea kuwapa watanzania huduma ya umeme wa uhakika Mkoa wa Arusha sasa umewezeshwa kupata umeme…

CHADEMA haturudi Nyuma -Heche

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMediaDar es Salaam Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeonesha msimamo wake wa kutorudi nyuma licha ya vizingiti vinavyowekwa dhidi ya wanachama wake, ikiwemo kuzuiwa kwa baadhi yao kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu lissu…

Miaka 61 ya Muungano Dk Biteko ahimiza viongozi kuacha alama

๐Ÿ“Œ Asisitiza umoja na ushirikiano Arusha ๐Ÿ“Œ Awataka Watanzania kuenzi Muungano Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kuishi kwa upendo na kushirikiana kwa…

Watu 200,000 wahudhuria mazishi ya Papa Francis

Uongozi wa Kanisa Katoliki Duniani umesema takriban watu 200,000 wamehudhuria misa ya mazishi ya Papa Francis iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican. Licha ya uwepo wa marais na wakuu wa nchi, mazishi ya Papa Francis yamehudhuriwa na…

JOWUTA , THRDC walaani wanahabari kukamatwa na kupigwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya CHAMA cha Wafanyakazi katika Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binaadamu nchini (THRDC) wamelaani kuanza kuibuka matukio ya waandishi wa habari na watangazaji kukamatwa na baadhi kupigwa na hata…