Latest Posts
Mtwara wapewe asilimia mbili
Kwa muda wa mwezi mzima wananchi wa Mkoa wa Mtwara wapo kwenye maandamano. Maandamano haya yanaelekea kulifikisha taifa katika uvunjifu wa amani. Wananchi wanatumia nguvu, na kuna uwezekanao Serikali nayo itafika mahala itaishiwa uvumilivu itaanza kutumia nguvu. Mungu apishe mbali.
Zitto, wanasiasa mnatenda dhambi mtakayoijutia
Kwa mwezi mzima sasa Taifa letu limegubikwa na vurugu za umiliki wa gesi. Wakazi wa Mkoa wa Mtwara wakiongozwa na propaganda za Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ambaye sasa anazungumza lugha za malaika akidai anawatetea wananchi wa Mtwara, wanachimba mtaro kwa ajili ya mkondo wa maafa.
NICOL yamsafisha Mengi
Kampuni ya Taifa ya Uwekezaji (NICOL), imemsafisha mfanyabiashara maarufu nchini, ambaye ni Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni za IPP, Reginald Mengi kuhusu tuhuma za kuidhoofisha kampuni hiyo.
MAONI YA KATIBA MPYA YA TANZANIA
Chadema: Tunataka Serikali tatu – 3
Wiki iliyopita tulikuletea sehemu ya pili ya maoni ya Chadema waliyowasilisha kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Leo tunakuletea sehemu ya tatu ya na ya mwisho ya maoni yao. Endelea…
TAKUKURU yawahoji watuhumiwa TTCL
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) imeanza rasmi kazi ya kuwahoji viongozi juu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).
RATIBA YA AFCON 2013
Jumanne 22 Januari 2013:
Ivory Coast vs Togo 11:00 jioni
Tunisia vs Algeria 2:00 usiku
Habari mpya
- Jeshi la Polisi linafuatilia kwa karibu watu wanaojiita TFF, latoa onyo
- RUWASA na TANESCO wanatupa usingizi Simanjiro
- Ujenzi kiwanda cha kuchakata pamba SIMCU (2018) LTD wafikia asilimia 75
- Dk Mwigulu apanda mti wa mchungwa Kilimanjaro
- Franone wajenga zahanati migodi ya Tanzanite
- Prof.Shemdoe aelekeza magari 14 ya usimamizi wa miradi ya TACTIC kufanya kazi iliyokusudiwa
- Mradi wa kufunga mifumo ya umeme jua maeneo ya visiwani kwa bei ya ruzuku wazinduliwa
- Kihenzile apongeza ujenzi wa meli nne Bandari ya Karema Katavi
- Ukraine yashambulia Jamhuri ya Udmurtia nchini Urusi
- Dk Jafo awezesha elimu ya ufundi akabidhi vyerehani vinne chuo cha FDC Kisarawe – Mzenga
- Mwigulu : Fedha za miradi ya maendeleo sio siri
- DAS Kahama aeleza umuhimu wa nishati ya umeme ya kupikia
- Dk Mwigulu azindua shule mpya ya sekondari ya Mbatakero
- Wakulima wa pamba washauriwa kuacja kilimo cha mazoea na kulima kwa tija zaidi
- Dk Nchimbi afanya mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini