JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Viongozi wa Dini waaswa kuimarisha mafundisho kwa wanandoa kunusuru kuvunjika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii Dkt.Dorothy Gwajima amewaasa viongozi wa dini zote nchini kuimarisha mafundisho kwa wanandoa kabla na baada ya kuingia kwenye ndoa ili kuwanusuru na mifarakano inayopelekea ongezeko la kuvunjika kwa ndoa na…

Kardinali Robert Prevost achaguliwa kuwa papa wa kwanza Mmarekani

Kardinali Robert Prevost, mmisionari Mmarekani ambaye alitumia maisha yake nchini Peru na ambaye anaongoza ofisi yenye ushawishi mkubwa ya maaskofu katika Vatican, amechaguliwa kuwa Papa wa kwanza Mmarekani katika historia ya miaka 2,000 ya Kanisa Katoliki. Prevost, mwenye umri wa…

Papa mpya apatikana

Moshi mweupe umeonekana ukifuka kutoka kwenye bomba la moshi katika Kanisa la Sistine Chapel, ni wazi mchakato wa upigaji kura umekamilika na makadinali wamemchagua mrithi wa Papa Francis. Bado hatujui ni nani amechaguliwa, lakini itaonekana wazi watakapotokea kwenye roshani ya…

Msumbiji kushirikiana na JKCI katika tiba ya moyo

Msumbiji itashirikiana na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete( JKCI) kwa kuwatuma wataalamu wake kujifunza namna ya kutoa huduma za matibabu ya moyo  kwa wagonjwa ili nchi hiyo iwe uwezo wa kutoa huduma hizo kwa wananchi. Ushirikiano mwingine ni wa kuwapeleka…

Adaiwa kumuua mwanamke kwa tuhuma za kumuambukiza virusi UKIMWI

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Mara JESHI la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Samweli Emmanuel maarufu kwa jina la ‘Nzaliya’ (20), mkazi wa kijiji cha Nata, Wilaya ya Serengeti, kwa tuhuma za mauaji ya Josephina Magani (52), ambaye pia ni mkazi wa…

Tanzania yadhamiria kuendeleza mageuzi ya kidigitali katika elimu

📌 Asema Serikali itaendelea kushirikiana na wadau wa elimu 📌 Asema Afrika lazima iendelee kuimarisha mazingira wezeshi kwa kampuni bunifu za kidigitali Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe….