JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Peter Mashili kuvaana na Bashe Jimbo la Nzega Mjini

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya MASHILI COMPANY LIMITED ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mradi wa Uchenjuaji Dhahabu wa (Matinje Mining, Msilale Mining na Igurubi Mining) Ndg Peter Andrea Mashili ametangaza nia ya Kugombea Ubunge wa Jimbo la Nzega Mjini…

Koka achukua fomu kutetea Jimbo la Kibaha Mjini

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Jumla ya wagombea kumi wamechukua fomu za kugombea ubunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, akiwemo mbunge aliyemaliza muda wake, Silvestry Koka, katika kipindi cha siku mbili tangu kuanza kwa zoezi hilo tarehe 28 Juni, 2025….

Rais Samia, Ndayishimiye wazindua Kiwanda cha Kisasa cha Mbolea

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na Rais wa Jamhuri ya Burundi, Meja Jenerali Mstaafu Evariste Ndayishimiye, leo wamezindua rasmi Kiwanda cha Mbolea cha ITRACOM kilichopo Nala, Jijini Dodoma…

Godwin Ndossi achukua fomu kugombea ubunge Jimbo la Kibaha Mjini

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Mgombea wa ubunge Jimbo la Kibaha Mjini Godwin Ndosi amechukua fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kibaha Mjini lililopo Mkoani Pwani. Ndosi ,amechukua fomu hiyo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kukabidhiwa…

Norland kutengeza ajira kwa vijana nchini

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Kutokana na changamoto ya ajira inayowakumba vijana nchini, Kampuni ya Norland, inayojihusisha na utafiti, uzalishaji na usambazaji wa bidhaa tiba za afya, imejipanga kutengeneza fursa za ajira kwa vijana wote wa Kitanzania, ili kuwasaidia…

Kada wa CCM Comrade Japhari Saidi achukua fomu Jimbo la Singida Mjini

Na Mwandishi Wetu, Singida MWANASIASA kijana na Mtaalam wa masuala ya udhibiti wa dawa na vifaa tiba cde Japhari Saidi achukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kugombea Ubunge Singida Mjini. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu cde Japhari ameeleza…