Latest Posts
JWTZ yatangaza nafasi za kujiunga na Jeshi, yatoa tahadhari dhidi ya matapeli
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Dodoma Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limetangaza nafasi za kuandikishwa jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu kuanzia sekondari hadi elimu ya juu, huku likitoa onyo kwa wananchi kuhusu uwezekano wa kujitokeza kwa…
Waziri Chana akutana na sekretarieti ya mkataba wa Lusaka
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Sekretarieti ya mkataba wa Lusaka (Lusaka Agreement) kuhusu Mkutano wa 14 wa Baraza la Usimamizi wa Mkataba wa Lusaka(LATF) unaotarajiwa kufanyika jijini Arusha kuanzia…
Mamia ya wanajeshi wa DRC watafuta hifadhi UN
Mamia ya wanajeshi na maafisa wa polisi wa Congo wanaotafuta hifadhi katika kituo cha Umoja wa Mataifa huko Goma tangu kutekwa kwa mji huo wa mashariki mwezi Januari wanahamishiwa Kinshasa, Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu ilisema Jumatano. ICRC ilisema…
Ofisi ya Makamu wa Rais kutekeleza mradi wa mazingira Zanzibar
Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais inatarajia kutekeleza Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya tabianchi katika jamii za Wazanzibari zilizoathiriwa na maji chumvi na kukosa maji baridi. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)…
Mjasiriamali aliyenufaika na mafunzo ya SDF amshangaza Waziri Kabudi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amewataka watanzania wasiogope kuwa wajasiriamali wa kilimo kwani kinalipa. Amesema hata kilimo cha uyoga kimewanufaisha wajasiriamali wengi akiwemo Esther Shebe ambaye amenufaika na…
Kirenga: Ubia wa Serikali, sekta binafsi umeibeba SAGCOT
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Kuendeleza Kilimo Nyanda ya Juu Kusini mwa Tanzania ( SAGCOT), Bw.Geoffrey Kirenga amesema mafanikio yaliyopatikana katika Ukanda huo kiuwekezaji kwenye kilimo yametokana na ushirikiano wa pamoja kati ya serikali na…