JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Msichana wa miaka 18 aua watu sita akiwemo mama yake kwa shambulio Canada

Polisi nchini Canada imethibitisha kuwa msichana mwenye umri wa miaka 18 ndiye aliyefanya shambulio la risasi na kuua watu sita katika shule ya Tumbler Ridge, baada ya kumuua mamake mzazi na kaka yake wa kambo. Mshambuliaji huyo alijiua baadaye na…

Burkina faso kujifunza mageuzi ya usimamizi na uendeshaji sekta ya madini

Na Mwandishi Wetu, Dodoma TANZANIA imeendelea kuimarisha na kuthibitisha nafasi yake kama kitovu cha maarifa na uzoefu katika usimamizi na uendeshaji wa Sekta ya Madini barani Afrika, baada ya kupokea Ujumbe wa kitaalamu kutoka Burkina Faso uliokuja kujifunza mifumo na…

Siku 100 za Rais Samia, sekta ya mafuta na gesi kama nguzo ya maendeleo ya Taifa

Na Rashid Mtagaluka, JamhuriMedia, Dar es Salaam TAREHE 14 Novemba 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, alilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano kwa hotuba ya kihistoria iliyoweka wazi dira ya Serikali kwa muhula…

Umoja wa Ulaya kushirikiana na Tanzania kwenye Mnyororo wa Thamani wa Madini

Na Mwandishi Wetu Umoja wa Ulaya (EU) umeonesha nia ya kuendelea kushirikiana na Tanzania katika mnyororo mzima wa thamani wa madini, ikiwemo ujenzi wa uwezo kwa wataalam wa madini, mafunzo ya ufundi stadi, teknolojia za kisasa, na utunzaji wa data…

Trump: Hakuna hitimisho lolote la mwisho kuhusu Iran

Rais wa Marekani Donald Trump amesema mazungumzo yake na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu hayakufikia hitimisho lolote la mwisho kuhusu Iran. Trump amesisitiza kuwa mazungumzo na Tehran yataendelea akionyesha uwezekano wa kufikiwa kwa makubaliano mapya ya kidiplomasia. Netanyahu, licha…

Masauni atoa rai kwa wabunge kupinga upotoshaji kuhusu muungano

Na; Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni ametoa rai kwa wabunge kupinga na kusahihisha upotoshaji wa taarifa kuhusu Muungano, hususan kupitia mikutano ya hadhara na mitandao…