Latest Posts
Afungwa miaka 30 kwa kosa la kulawiti
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora imemhukumu kifungo cha miaka 30, Boniface Matale (30), mkulima na mkazi wa Kata ya Mbagwa wilayani humo, baada ya kupatikana na Hatia ya kumlawiti kijana mwenye…
ACT Wazalendo yakabidhi magari kufuatilia uchaguzi
Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo) kimekabidhi kamati ya ushindi magari saba aina ya Toyota Alphard kwa ajili ya kufuatilia matukio yote ya uchaguzi katika wilaya saba za Unguja. Makabidhiano hayo yamefanywa na Mgombea Urais wa Zanzibar wa…
CHAUMMA kukuza uchumi asilimiasaa hadi tisa
Mgombea Urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema serikali ya chama hicho itahakikisha mchango wa sekta ya kilimo kwa uchumi wa nchi unakua na kufikia asilimia kati ya saba hadi tisa ndani ya miaka mitano ijayo….
ADC kufuta misamaha ya kodi
Chama cha Alliance for Democracy Change (ADC) kimesema serikali yake itafuta misamaha ya kodi na kuondoa punguzo kwa bidhaa zote zinazoingizwa kutoka nje ya nchi wakati zinapatikana hapa nchini. Ilani ya uchaguzi ya chama hicho ya mwaka 2025-2030 imesema itapunguza…
NLD kuwatumia viongozi wa kiroho
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha National League for Democracy (NLD) kimesema serikali yake inawatumia viongozi wa kiroho ili kuhakikisha inakuwa na hofu ya Mungu. Kauli hiyo imetolewa na mgombea Urais wa chama hicho, Doyo Hassan Doyo,…
CUF yapania kuleta mabadiliko kwa Watanzania
Na Pendo Nguka, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mgombea Urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Samandito Gombo, amesema chama chake kimejipanga kikamilifu kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, mwaka huu kwa malengo ya kuleta mabadiliko ya kweli yanayogusa maisha ya kila…





