Latest Posts
Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu Wastaafu, nguzo ya busara na uadilifu ndani ya CCM
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Miongoni mwa mambo yaliyoipa CCM uhai, uimara na uimarikaji katika safari yake ndefu ya kisiasa, ni hekima ya kuwatumia viongozi wakuu wastaafu kama washauri. Utaratibu huu si jambo jipya, bali ni urithi ulioanzishwa…
Bariadi yasimama Kadogosa akichukua fomu za ubunge
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simiyu Shughuli katika miji midogo kadhaa iliyopo ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi zilisimama kwa muda wakati mteule wa kugpmbea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Bariadi Vijijini, Masanja Kadogosa, alipochukua fomu. Masanja…
Biteko achukua fomu kugombea Bukombe, ahimiza kampeni za kistaarabu
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bukombe, Zedekiah Solomon Osan amemkabidhi fomu ya uteuzi wa kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Bukombe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Doto Mashaka…
Serikali yataka Mashirika ya Umma kuiga sekta binafsi kuongeza ufanisi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Serikali imeyataka Mashirika ya Umma kujifunza kutoka kwa sekta binafsi kuhusu namna bora ya kuendesha taasisi na hivyo kuongeza ufanisi wao. Wito huo ulitolewa Agosti 26, 2025, na Naibu Waziri Mkuu, Dk. Doto Biteko wakati…





