JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mkutano wa TISA wa Wakuu wa Nchi na Serikali TICAD wahitimishwa jijini Yokohama

Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kimataifa wa Tokyo kuhusu Maendeleo ya Afrika (Tokyo International Conference on African Development) umehitimishwa jijini Yokohama, Japan, tarehe 22 Agosti 2025, baada ya siku tatu za majadiliano yaliyoendeshwa chini ya…

Wazazi wahimizwa kuwatibu watoto ugonjwa wa mafindofindo kuwaepusha na magonjwa ya valvu za moyo

Wazazi wamehimizwa kuwatibu watoto wanaopata ugonjwa wa mafindofindo (tonsillitis) kuwaepusha na hatari ya kupata magonjwa ya valvu za moyo. Hayo yamesemwa na Daktari bingwa wa moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Salehe Mwinchete wakati wa kambi maaluumu ya…

JKCI kudhibiti vifo vya ghafla vya shambulio la moyo kwa wanamichezo

Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imetia saini ya makubaliano ya ushirikiano na Chama Cha Madaktari wa Moyo cha nchini Misri kuanzisha huduma za upimaji na matibabu ya magonjwa ya shambulio la moyo kwa wanamichezo ili kuzuia vifo vya…

JOWUTA yakutana na Waziri Ridhiwani, Kamishna wa Kazi kujadili changamoto za wanahabari

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma VIONGOZI wa Chama cha Wafanyakazi katika Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) wamekutana na Waziri wa Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete, pamoja na Kamishna wa Kazi, Suzan Mkangwa, kujadili changamoto zinazowakabili wanahabari nchini,…

Serikali kugharamia mazishi waliofariki ajali ya mgodi wa Nyandolwa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu Mhe. William Lukuvi, amemfikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, salamu za pole kufuatia ajali ya kufukiwa kwa mafundi katika Mgodi wa…

Dk Biteko ataka watumishi wa Wizara ya Nishati na taasisi zake kuwa mfano matumizi ya nishati safi ya kupikia

๐Ÿ“Œ Lengo ni kutekeleza Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia kwa vitendo ๐Ÿ“ŒMatumizi ya Nishati Safi ya Kupikia yapaa kutoka asilimia 6 hadi 20.3 ๐Ÿ“Œ Agawa majiko yanayotumia umeme kidogo kwa Watumishi wa Wizara ya Nishati na REA ๐Ÿ“Œ Apongeza…