Latest Posts
DCP Stella afunga mafunzo ya uwekaji alama silaha na utunzaji taarifa
Mkuu wa Kitengo cha kushughulikia Makosa dhidi ya Binadamu, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Stella Mtabihirwa leo Agosti 22, 2025 amefunga mafunzo ya uwekaji alama silaha na utunzaji wa taarifa kwa Askari Polisi Jijini Dodoma, Mafunzo ambayo yalikuwa yakiendeshwa na…
Ndala apinga uhalali wa Mpina kugombea urais ACT-Wazalendo, atinga ofisi za msajili
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Darves Salaam Leo tarehe 22 Agosti 2025, Monalisa Joseph Ndala, mwanachama wa ACT-Wazalendo na Katibu Mwenezi wa ACT-Wazalendo (Mkoa wa Dar es Salaam) ambaye pia ni Naibu Waziri Kivuli wa Sanaa, Utamaduni na Michezo, amewasilisha malalamiko…
Mkuu wa Wilaya Nyasa afunga mafunzo ya Jeshi la Akiba
-Asisitiza nidhamu, weledi, uzalendo-Awataka wananchi kuwa raia wema. Na Byarugaba Innocent, Nyasa DC Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Peres Magiri leo Agosti 22, 2025 amefunga Mafunzo ya Jeshi la akiba yaliyoanza rasmi Aprili 9,2025 yakiwa na Wanafunzi 16. Mkufunzi Mkuu…
NHIF yatoa mafunzo kujisajili uanachama bima ya afya kwa watumishi Tume ya Madini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Watumishi wa Tume ya Madini Makao Makuu wamepatiwa mafunzo ya mfumo wa kujisajili katika Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF Self Service), hatua inayolenga kurahisisha mchakato wa usajili wa wanachama na wategemezi wao. Mafunzo hayo…
NCAA yalipia mashabiki 500 mechi Taifa Stars Morocco
Na Hamis Dambaya, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imenunua tiketi 500 kwa ajili ya kulipia mashabiki 500 kuingia uwanja wa Benjamini Mkapa leo Agosti 22, 2025 kwa ajili ya kushuhudia mechi ya robo fainali ambapo…