Latest Posts
Wananchi kutumia umeme katika vyombo vya usafiri ili kupunguza gharama gharama za usafiri
-TANESCO yaeleza matumizi ya umeme katika magari, bajaji na pikipiki -Pikipiki ya umeme hutumia uniti 3 pekee kusafiri hadi kilometa 130 Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Wananchi wamehimizwa kutumia umeme katika vyombo vya usafiri ili kupunguza gharama za uendeshaji…
DG Magambi: Kaulimbiu ya PSSSF ‘Tunalipa Jana ’ yaleta furaha kwa wastaafu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Fortunatus Magambo, amesema kaulimbiu ya “Tunalipa Jana” iliyoanzishwa na Mfuko huo mwezi Aprili mwaka huu imeendelea kuleta faraja kwa wanachama…
Mzumbe yajipanga kuzalisha wahitimu wenye uwezo wa kushindana kimataifa
Chuo Kikuu Mzumbe kimesema kimejipanga kuendelea kuisaidia jamii kwa kutoa elimu bora inayozalisha wahitimu wenye uwezo wa kushindana katika soko la ajira ndani na nje ya nchi, pamoja na kujiajiri kupitia taaluma mbalimbali za ubobezi zinazotolewa na chuo hicho. Akizungumza…
Kabudi aipongeza DCEA kwa elimu ya madhara ya dawa za kulevya SABASABA
-Awahimiza wananchi kutembelea banda la Ofisi ya Waziri Mkuu Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Watu Wenye Ulemavu), Prof. Palamagamba Kabudi, ameipongeza Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA)…
Bilioni 1.25 kuboresha huduma za afya Ulanga- Prof. Shemdoe
-Amshukuru Rais Samia kwa kuidhinisha fedha hizo. Na. OWM -TAMISEMI, Ulanga. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa…
Wananchi wapongeza mfumo wa NHIF wa kujihudumia kupitia simu janja
-Wasema unaongeza uwazi, ufanisi na kuokoa muda wa kupata huduma Na Grace Michael, Dar es Salaam Wananchi na wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wamepongeza Mfumo wa Kujihudumia Binafsi (Self Service) unaowezesha wanachama kupata huduma mbalimbali…





