JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

CCM yatoa pole kifo cha Rais Mstaafu wa Algeria

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Rabia Abdalla Hamid amewasilisha salamu za pole za Chama kwa Algeria, kutokana na kifo cha Rais Mstaafu wa nchi hiyo, Liamine Zeroual….

Dk Dugange azindua zoezi la upandaji miti kumbukizi ya Mwalimu Nyerere

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange amezindua zoezi la upandaji wa miti kuelekea kumbukizi ya miaka 104 ya kuzaliwa kwa Baba wa Taifa Hayati Julius Kambarage Nyerere Aprili 11, 2026. Zoezi hilo…

Serikali itaendelea kusimamia upatikanaji wa mafuta -Dk Mwigulu

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaendelea kusimamia upatikanaji wa bidhaa za mafuta ya petroli na mafuta mengine ili kuhakikisha bei zake zinaendelea kuwa himilivu, licha ya changamoto za kiusalama za kikanda na kimataifa, ikiwemo…

EWURA yataja sababu ya bei ya Mafuta Kupaa

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Wakati wananchi wakitarajia utulivu wa gharama za maisha mwanzoni mwa robo ya pili ya mwaka, hali imekuwa tofauti baada ya kutangazwa kwa ongezeko kubwa la bei za mafuta nchini, hatua inayotishia kuongeza mzigo wa maisha na gharama…

Ofisi ya Waziri Mkuu yaomba trilioni 12.5 kwa Bajeti 2026/202

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk.Mwigulu Lameck Nchemba, amewasilisha Bungeni mpango wa mapato na matumizi kwa Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Ofisi ya Bunge kwa mwaka wa fedha 2026/2027, akiomba zaidi ya shilingi trilioni…