JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wizara ya Afya yaahidi kupatia BMH vifaa tiba kwa ajili ya kituo cha upandikizaji figo

Na WAF, Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghe ameipongeza Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) kwa kukamilisha mradi wa upanuzi wa kituo cha upandikizaji figo uliogharimu Shilingi Bilioni 1.5 na kuahidi Wizara ya Afya itahakikisha inaipatia BMH…

Mbarali waipa kongole wizara kuandaa kliniki maalum ya ardhi

Na Munir Shemweta, WANMM Baadhi ya wananchi katika halmashauri ya wilaya ya Mbarali mkoa wa Mbeya wameipa pongezi wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kuandaa Klinik ya Maalum ya Ardhi kwa ajili ya kuongeza kasi ya umlikishaji…

Marekani yaiwekea vikwazo DRC

Marekani imeliwekea vikwazo kundi lenye silaha nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo linalofanya kazi na serikali ya Kinshasa, chama cha ushirika cha uchimbaji madini nchini humo, na makampuni mawili ya Hong Kong, ikiwatuhumu kuchangia ukosefu wa usalama nchini DRC na…

Trump amuonya Putin

Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kuchukua hatua kali dhidi ya Rais wa Urusi Vladimir Putin ikiwa hatokubali kumaliza vita nchini Ukraine. Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kuchukua hatua kali dhidi ya Rais wa Urusi Vladimir Putin ikiwa hatokubali…