JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mgombea urais Colombia afariki dunia

Mgombea Urais wa Colombia, Miguel Uribe, amefariki dunia usiku wa kuamkia Jumanne, miezi miwili baada ya kushambuliwa kwa risasi alipokuwa kwenye kampeni za uchaguzi. Licha ya kuonyesha dalili za kupona katika wiki za hivi karibuni, madaktari walibainisha kuwa mwanasiasa huyo…

Daktari jela miaka 15 kumdhalilisha mgonjwa

Mahakama Kuu ya Anuradhapura, Sri Lanka, imemkuta na hatia daktari mwenye umri wa miaka 70 kwa kosa la kumdhalilisha kijinsia mwanamke mwenye umri wa miaka 25. Tukio hilo lilitokea baada ya mama huyo kufika katika kituo cha afya kwa ajili…

Wizara ya Mifugo, IUCN kuanzisha Jukwaa la Kitaifa la Biashara za Uchumi wa Buluu

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam SHIRIKA la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira na Uasili (IUCN) kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi wanatarajia kuanzisha Jukwaa la Kitaifa la Biashara za Uchumi wa Buluu litakalolenga kuongeza thamani ya rasilimali…

PDPC yawataka mabloga kulinda faragha ya wagombea wakati kampeni za uchaguzi 2025

Na Magrethy Katengu,Jamhuri Media , Dar es Salaam. Waandishi wa habari na mabloga wametakiwa kuelimisha jamii kuhusu sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi, ili kuzuia uvunjifu wa faragha na kuepusha madhara ya kisheria. Wito huo umetolewa Dar es Salaam Agosti…

Mwaijojele achukua fomu ya urais kupitia CCK, atilia mkazo maisha bora kwa wastaafu

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Kijamii (CCK)David Daud Mwaijojele, amechukua rasmi fomu ya kugombea nafasi hiyo leo Agosti 12, 2025, katika makao makuu ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) jijini Dodoma, kujiandaa kuwania…