JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rais Mwinyi : Zanzibar inahitaji fursa za uwekezaji

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Zanzibar inahitaji fursa za uwekezaji katika sekta mbalimbali ikiwemo Uchumi wa Buluu, sekta ya miundombinu, afya pamoja na fursa za kibiashara kwa ajili ya…

Kongamano la Nishati Safi kufanyika Msasani Beach Agosti 26,2025

Na Magrethy Katengu,JamhuriMediaDar es salaam Kikundi Cha mama lishe Kawe”Ngome ya mama” Manispaa ya Kinondoni kwa kushirikiana na kampuni ya Camgas -Camel Oil Ltd,kimeamdaa kongamano la kuhamasisha Matumizi ya Nishati Safi ya kupikia litakalofanyika Msasani Beach Agost, 26 Mwaka huu….

Polisi Ruvuma yamsakama ‘Mama Yusta’ kwa tuhuma za kumng’ata mdomo jirani na kukimbia na kipande

Na Cresencia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma linamsaka mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Moria maarufu kwa jina la Mama Yusta baada ya kumjeruhi Kanisia Hinju (30) mkazi wa kijiji cha Kihuru wilayani Nyasa kwa kumng’ata meno…

Wawili mbaroni kwa tuhuma za mauaji Ruvuma

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea JESHI la Polisi mkoani Ruvuma linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumuufwa mwendesha boda boda Ramadhani Hakimu (19) mkazi wa mateka Manispaa ya Songea ambao inadaiwa kabla ya kumuuwa walimpiga sehemu mbalimbali za mwili kisha…

Nane mbaroni kwa kukutwa na nyara za Serikali, akutwa na bidhaa bandia Ruvuma

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMesia, Songea JESHI la Polisi mkoani Ruvuma limewatia mbaroni watu saba kwa tuhuma za kupatikana wakiwa na nyara za serikali, meno ya Tembo 64, kati yake mazima yakiwa 8 na vipande 56,meno ya Kiboko 145 na meno…