JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Zaidi ya leseni 1,000 za madini zatolewa Kahama

· Wachimbaji wahamasika kuachana na Zebaki · Waita wawekezaji kujenga mitambo ya kuchenjulia JUMLA ya leseni 1356 zimetolewa katika halmashauri tatu za Mkoa wa Kimadini Kahama ambazo ni Ushetu, Msalala na Kahama huku wazawa na wawekezaji kutoka nje wakitakiwa kuchangamkia…

Mringo ataja changamoto nne zinazowakabili wamiliki wa vyuo binafsi vya ufundi stadi

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MWENYEKITI wa Vyuo binafsi nchini, Mahmoud Mringo amebainisha changamoto nne ambazo zinawakabili Wamiliki wa Vyuo binafsi vya Ufundi Stadi nchini. Ambapo ametaja moja ya changamoto kubwa wanayokabiliana nayo ni gharama kubwa za mtaji…

NACTVET yawahakikishia wadau usimamizi thabiti wa ubora wa elimu ya ufundi na amali

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limeelezea dhamira yake kuhakikisha kuwa mafunzo ya ufundi na yale ya amali yanayotolewa kwenye vyuo na shule za sekondari za…

ALAT yawataka madiwani kuwaelezea wananchi yaliyofanywa na Dkt. Samia

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MADIWANI nchini wametakiwa kuanza kufanya mikutano ya hadhara katika maeneo yao ili kuwaelezea wananchi mambo mbalimbali yaliyofanywa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za…

PBZ kuanza kufanyakazi kwa saa 24

Na Lookman Miraji Benki ya watu wa Zanzibar (PBZ) inatarajia kuzindua rasmi ufanyaji wa kazi kwa saa 24 katika tawi lake la Kariakoo, Dar es Salaam. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi mwendeshaji wa benki hiyo Arafat Haji katika hafla ya ftari…

Kamati ya PAC yatembelea mradi wa kufua umeme wa Kikuletwa Hai

Na Happy Lazaro,.JamhuriMedia, Hai Hai.KAMATI ya kudumu ya Bunge ya hesabu za serikali (PAC) imetembelea mradi wa kufua umeme wa Kikuletwa uliopo chini ya Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)wilayani Hai mkoani Kilimanjaro na kueleza kuridhishwa na miradi hiyo ambayo ikikamilika italeta…