JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rais Namibia atembelea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. NetumboNandi-Ndaitwah alipowasili chuoni hapo leo asubuhi ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kiserikali ya siku mbili nchini. Rais…

Serikali yajikita kuboresha kilimo kupitia BBT na Bajeti ya Trilioni 1.24/-

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imewasilisha mpango wake wa makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, ukilenga kuimarisha ajira staha kwa vijana na wanawake kupitia Programu ya Building a Better Tomorrow (BBT)…

Kenya yajifunza uchimbaji na biashara ya makaa ya mawe Tanzania

📍 Dodoma Tanzania imeendelea kuwa kinara katika usimamizi na uendelezaji wa Sekta ya Madini katika eneo la Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, hali iliyoivutia nchi jirani ya Kenya kuja kujifunza mbinu bora za uchimbaji wa makaa ya mawe. Ujumbe…

Ugonjwa unaomkabili Biden waibua maswali

Tangazo la Joe Biden kwamba amepatikana na saratani ya tezi dume limefufua maswali kuhusu masuala ya kiafya ambayo rais huyo wa zamani wa Marekani alikuwa akikabiliana nayo alipokuwa katika Ikulu ya White House. Katika taarifa ya Jumapili, ofisi ya Biden…

CBE kuanzisha Shahada ya Uhandisi wa Viwandani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kinatarajia kujenga maabara za kisasa zitakazoidhinishwa na mashirika ya kimataifa ya viwango ambazo zitakuwa kitovu cha mafunzo, utafiti, na ushauri wa vipimo katika Afrika Mashariki na Kati….

Zelensky aishutumu Urusi kwa kutaka kuendeleza vita vyake

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ameishutumu Urusi kwa kutoshiriki kwa dhati kwenye mazungumzo ya amani na kwa kutaka kuendeleza uvamizi wake wa miaka mitatu, licha ya msukumo wa Marekani wa kusitisha mapigano. Matamshi haya ameyatoa siku moja baada ya Rais…