JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Misime:Waandishi wazingatie sheria na kanuni za uchaguzi

Na Pendo Nguka,JamhuriMedia Dar es Salaam Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini (DCP), David Misime ameeleza uhitaji wa mchango mkubwa wa waandishi wa habari hasa katika kipindi cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu kwa kuzingatia sheria na kanuni. Misime amesema hayo…

Arusha washuhudia maonyesho ya faida ya kupika kwa kutumia nishati safi

Wananchi kutoka vitongoji mbalimbali jijini Arusha walikusanyika kushuhudia maonyesho ya moja kwa moja kuhusu faida za kupika kwa kutumia umeme kama nishati safi na salama. Kampeni hii, inayoendeshwa na Wizara ya Nishati kwa kushirikiana na UKAid na MECS, inalenga si…

Marekani yatoa msaada wa mahema kusaidia uhifadhi faru weupe

Katika kuendeleza juhudi za kuimarisha uhifadhi na ulinzi wa rasilimali za Wanyamapori, Taasisi ya Caribbean Naples Zoo kutoka Nchini Marekani imetoa msaada wa mahema kumi (10) kwa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kwa lengo la kuimarisha shughuli za uhifadhi…

Mpina : Ninaifahamu kwa kina mizigo ya Watanzania nakwenda Ikulu kuitatua

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema anaifahamu kwa kina mizigo ya Watanzania, ikiwemo changamoto za kilimo, ufugaji, biashara, uchimbaji madini, bodaboda na kusisitiza kuwa amedhamiria kuyatatua mara atakapochaguliwa. Akizungumza…

Kasi ndogo ya utekelezaji mradi wa umeme Chalinze – Dodoma yamkasirisha Dk Biteko

📌 Asikitishwa mradi huo aliouzindua Novemba 2024 kuwa nyuma kwa asilimia Saba 📌 Asema Rais Samia alitoa agizo mradi usichezewe kutokana na umuhimu wake katika mikoa mbalimbali ikiwemo ya Magharibi 📌 Asema sababu zilizotolewa na mkandarasi (TBEA) za kusuasua kwa…

Dk Biteko kuzindua teknolojia ya kuondoa uvimbe bila upasuaji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam NAIBU Waziri Mkuu, Dotto Biteko anatarajiwa kuzindua teknolojia mpya ya kuondoa uvimbe mwilini bila upasuaji inayofahamika kama High-Intensity Focused Ultrasound (HIFU). Uzinduzi wa teknolojia hiyo utafanyika tarehe 26 mwezi huu kwenye hospitali ya…