JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tume ya Madini yajivunia mafanikio ya makusanyo ya maduhuli

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Ramadhani M. Lwamo amesema kiwango cha makusanyo ya maduhuli ya Serikali kimepanda kutoka Shilingi bilioni 624.61 zilizokusanywa Mwaka wa Fedha 2021/2022 hadi kufikia Shilingi bilioni 753.82 kwa Mwaka…

Aliyebuni jina la Tanzania afariki

Mbunifu wa jina la Tanzania, Mohammed Iqbal Dar afariki Dunia nchini Uingereza. Mohamed Iqbal Dar amefariki Dunia huko Birmingham Uingereza. Atakumbukwa Kwa mafanikio ya kuchagua jina jipya la jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar yaani. “Jamhuri ya Tanzania” wakati…

Hospitali ya Benjamin Mkapa yapiga hatua kwenye huduma za kibingwa, ubingwa wa juu

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMediaDodoma Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH)imesema kwa kutumia falsafa ya 4Rs (Reforms, Rebuilding, Reconciliation na Resilience,), imepanua huduma za kibingwa kutoka 14 hadi 20 na huduma za ubingwa wa juu kutoka 7 hadi 16. Hayo yameelezwa leo Machi…

Papa Francis akumbwa na tatizo la kushindwa kupumua mara mbili

PAPA Francis yuko macho baada ya kukumbwa na matukio mawili ya ‘kushindwa kupumua’ siku ya Jumatatu alasiri, imesema Vatican. Madaktari walilazimika kuingilia kati ili kuondoa kamasi kwenye mapafu ya Papa, imesema taarifa kutoka serikali kuu ya Vatican ya Holy See,…

Kampeni ya msaada wa kisheria yapigilia msumali sheria na utatuzi wa migogoro ya ardhi

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Chalinze Ofisa Ardhi Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani, Baltazar Mitti, ameeleza kuwa kero nyingi za migogoro ya ardhi zinatokana na wananchi kutokuwa na uelewa wa kisheria, hali inayosababisha kutapeliwa au kudhulumiwa. Akitoa elimu kuhusu Sheria ya…

Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, Wizara ya Nishati yajivunia kulinda haki, usawa

📌 Wizara ya Nishati yajivunia jitihada katika kulinda haki, usawa na kuwawezesha wanawake 📌 Kapinga asema lengo ni kuboresha ustawi wa mwanamke na kuongeza thamani yake. Katika kuelekea maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2025, yenye kaulimbiu “Wanawake…