Latest Posts
Rais Samia atunukiwa Medali ya Mother of the Nation Order kutoka kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Medali ya Mother of the Nation Order kutoka kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu Mtukufu Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan. Medali hiyo iliwasilishwa kwake…
Israel yashambulia miundombinu ya waasi wa Houthi
Israel imesema imefanya mashambulizi ya kulipa kisasi dhidi ya waasi wa Houthi wa nchini Yemen kwa kuyalenga maeneo kadhaa yenye mafungamano na waasi hao. Hayo yamejiri siku moja baada ya kundi hilo kufyetua kombora la masafa lililoanguka karibu na uwanja…
Gari la Papa Francis lageuzwa zahanati ya kuwatibu watoto wa Gaza
Moja ya magari yaliyotumiwa na Papa Francis kusalimia maelfu ya watu litageuzwa kuwa zahanati inayotembea ili kusaidia watoto wa Gaza. Shirika la hisani la Caritas linalosimamia mradi huo, lilisema gari hilo lililotumika wakati wa ziara ya marehemu Papa mjini Bethlehem…
Padri Dk. Kitima, Mdude: Tunakoelekea siko
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia,Dar es Salaam Wiki iliyopita imekuwa na matukio makuu matatu. Mawili ni ya kusikitisha, na moja ni la faraja kwa watumishi wa umma wa taifa hili kuongezewa mshahara. Nalazimika kuyachanganya matukio haya, maana safu hii hutoka mara…
Waziri Mkuu wa Romania ajiuzulu
Waziri Mkuu wa Romania Marcel Ciolacu amejiuzulu jana jioni, siku moja baada ya mwanasiasa wa upinzani wa mrengo mkali wa kulia kushinda duru ya kwanza ya uchaguzi wa marudio wa rais. Ciolacu alisema chama chake cha Social Democrats kinajiondoa kutoka…





