Latest Posts
Waziri Ndumbaro : Ukatili wa kijinsia Tanga ni changamoto kubwa
Na Ashrack Miraji, JamuhuriMedia, Tanga WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, amezitaka familia, viongozi wa dini, na uongozi wa Mkoa wa Tanga kuanzisha mikakati madhubuti ya kupambana na ukatili wa kijinsia, ili kukomesha tatizo ambalo limekuwa ni changamoto…
RC Sendiga anavyokabiliana na mgogoro wa ardhi ili kurudisha ekari 1,784 kwa wananchi
Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Manyara Unapozungumzia mgogoro wowote wa ardhi hapa unatakiwa kwanza kabisa kujua nini maana halisi ya ardhi ambayo ni sehemu ambayo ipo juu na chini ya uso wa nchi pamoja na mimea inayoota au kupandwa juu yake,…
JKCI yapata tuzo utoaji huduma bora za afya 2025
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imepata tuzo ya ushindi wa utoaji wa huduma bora za afya kwa mwaka 2025 katika kundi la Hospitali maalum na Taifa. Tuzo hiyo imetolewa leo na Waziri…
Kada wa CHADEMA amuomba msajili wa vyama vya siasa kutengua maamuzi Baraza Kuu la chama
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome amemuomba Msajili wa vyama vya siasa kutengua maamuzi ya Baraza Kuu la chama hicho yaliyofanyika Januari 22, 2025. Akizungumza na…
Kapinga : Kazi ya kupeleka umeme kwenye migodi midogo inaendelea
📌 Wachimbaji wa chumvi pia wafikiwa 📌 Wananchi Kibiti wampongeza Rais Samia kwa mradi wa umeme wa zaidi ya shilingi Bilioni 3.8. 📌 Kituo cha umeme Uhuru wilayani Urambo chakamilika Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali kupitia…





