JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Waziri Mhagama apongeza kiwanda pekee kinachotengeneza maji tiba nchini

……. Ni cha Kairuki Pharmaceuticals Industry Limited Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, amekipongeza kiwanda cha kutengeneza maji tiba cha Kairuki Pharmaceuticals Industry Limited kilichoko Mkoa wa Pwani. Alitoa pongezi hizo jana alipotembelea kiwanda hicho kwa…

Jaji Warioba : Napongeza CCM kwa hatua zake hidi ya rushwa

Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Jaji Joseph Sinde Warioba, amepongeza hatua zilizoanza kuchukuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mapambano dhidi ya rushwa kwenye uchaguzi. Jaji Warioba ametoa pongezi hizo akirejea mabadiliko ya Katiba ya…

Bolt yafurahishwa kuongezeka idadi ya wateja wanaotumia huduma za usafiri mtandaoni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KAMPUNI inayoongoza kwa huduma za usafirishaji mtandaoni nchii na Barani Afrika imefurahishwa na kuongezeka kwa idadi ya wateja wanaotumia huduma hiyo. Dimmy Kanyankole ni Meneja Mkuu wa Bolt Tanzania na Kenya alisema kuwa…

Washindi Tuzo za kihistoriaTEHAMA 2025 hadharani leo

*Tume ya TEHAMA yafikiria Tuzo kwa wanahabari Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WASHINDI wa kwanza wa Tuzo za TEHAMA 2025, wanatarajiwa kutangazwa rasmi leo katika hafla ya Tuzo hizo zinazotarajiwa kufanyika katika Hoteli ya Nyota Tano ya Gran…

RC Ruvuma: Kuna ongezeko la watoto wa mitaani

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahamed Abbas Ahamed amesema kuwa mkoa huo unakabiliwa na changamoto ya watoto wanaoishi na kufanyakazi za mitaani hususani katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea jambo ambalo linapelekea kuwa katika…

Mvutano Kenya, Sudan kuendelea kutokota, baada ya wanamgambo RSF kutangaza kuwepo Nairobi

Mvutano kati ya Kenya na Sudan unaendelea kuwa mgumu, hasa baada ya wanamgambo wa RSF (Rapid Support Forces) kudai kuwa wanahudhuria mjini Nairobi. Katika hali hii, serikali ya kijeshi ya Sudan imechukua hatua ya kumtangaza balozi wake kutoka Nairobi, kutokana…