Latest Posts
Balile : Rais Samia ameimarisha uhuru wa habari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songea JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuimarisha uhuru wa wanahabari. Pongezi hizo zimetolewa leo Aprili 4, 2025 na Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile wakati wa ufunguzi wa mkutano maalum wa…
Nchimbi : CHADEMA kususia uchaguzi ni haki yako
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songea KATIBU Mkuu na Mgombea Mwenza Mteule wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema kitendo cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutaka kususia uchaguzi mkuu ni haki yao kisheria. Hayo ameyasemwa leo…
Sanku yadhamiria kumaliza tatizo la udumavu nchini
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea. TATIZO la udumavu kwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano, wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi katika Mkoa wa Ruvuma linatarajiwa kupungua baada ya Kampuni ya Sanku – Project Healthy Children Tanzania Limited…
Nchimbi kufungua mkutano mkuu wa Jukwaa la Wahariri Ruvuma
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Katibu Mkuu CCM Taifa ambaye pia ni mgombea mwenza kupitia chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) ambao unafanyika kesho…
Watu nane wafariki, 31 wajeruhiwa katika ajali Mwanga
Na Ashrack Miraji, JamhuriMedia, Mwanga WATU nane wamefariki Dunia na wengine thelathini na moja kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupinduka wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Jeshi la zimamoto na uokoaji mkoani wa Kilimanjaro,…





