JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rais Dk Mwinyi apokewa kwa kishindo Pemba

*Wanachama 2,439 wa ACT wajiunga na CCM Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Hussein Ali Mwinyi amezisisitiza Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi kuwahamasisha Wanachama na Wananchi kujiandikisha na kujitokeza kwa Wingi kupiga Kura ili CCM ishinde kwa Kishindo. Dkt. Mwinyi ambae…

Majaliwa: CCM ipo tayari uchaguzi 2025

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewahimiza wananchi wa Itilima kujipanga kwa Uchaguzi Mkuu wa 2025 huku akisisitiza umuhimu wa kuendelea kuunga mkono Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana na…

Wakulima wajipatia bilioni 347 kutoka NAFRA

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakulima wa Tanzania wanaozalisha mazao ya chakula na kuyauza kwa Wakala wa Taifa wa Uhifadhi wa Chakula Nchini (NFRA) wamelipwa bilioni 347 katika miezi minane iliyopita — kuanzia mwezi Julai 2024 hadi mwezi…

TPA yatwaa tuzo ya ‘ e-GA’ kwa matumizi bora ya Tehama

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMesia, Dar es Salaam Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeibuka mshindi wa tatu katika kundi la taasisi za Umma zinazozingatia na kufuata miongozo na kanuni za Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-Ga) katika uendeshaji na usimamizi…

Watu 18 wauawa katika kituo treni India

Takriban watu 18 wamekufa na wengine 10 kujeruhiwa katika ajali iliyotokea kwenye kituo cha reli cha New Delhi. Maelfu ya watu waliripotiwa kujaa kwenye kituo cha treni Jumamosi usiku walipokuwa wakijaribu kupanda treni zilizochelewa. Wanne kati ya waathiriwa walikuwa watoto,…

Papa alazwa, hali yake yaimarika

Papa Francisko, mwenye umri wa miaka 88, amelazwa katika Hospitali ya Gemelli mjini Roma kutokana na maambukizi ya njia ya hewa yanayosababishwa na bronkiti. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Vatican, hali yake inaendelea kuimarika baada ya kupatiwa matibabu stahiki. Kwa…