Latest Posts
Mgombea kiti cha urais Za’bar achukua fomu
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi (kulia) amemkabidhi fomu ya uteuzi mgombea wa kiti cha urais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman leo Agosti 31, 2025. Othman anayegombea kupitia Chama cha Act-Wazalendo, amekabidhiwa fomu katika…
Dk Mpango aikaribisha Ghana kuwekeza ncini
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amewakaribisha wawekezaji kutoka Ghana kuwekeza nchini kupitia fursa nyingi zilizopo katika sekta ya madini, kilimo, utalii, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), elimu na huduma za jamii. Dk Mpango ameeleza hayo alipozungumza na Balozi…
Wanafunzi 2,328 wafanyiwa uchunguzi magonjwa ya moyo Kibaha
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kibaha Wanafunzi 2,328 kutoka Shule ya Msingi Mailimoja na Sekondari ya Bundikani zilizopo Wilaya ya Kibaha mkoa wa Pwani wamefanyiwa uchunguzi wa awali wa magonjwa ya moyo. Upimaji huo umefanyika katika kambi maalumu ya siku mbili…
Viongozi 20 wa dunia wakutana China
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, na Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi, wako miongoni mwa viongozi 20 wa dunia wanaohudhuria kilele cha usalama wa kikanda nchini China. Kabla ya mkutano wa kila mwaka wa Shirika la Ushirikiano wa Shanghai (SCO)…
CHAUMMA, CUF kuzindua kampeni za urais leo
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kinatarajia kuzindua kampeni za mgombea wake wa urais, Salum Mwalimu, pamoja na mgombea mwenza wake Devotha Minja, jijini Dar es Salaam leo. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Habari na Taarifa kwa Umma wa CHAUMMA,…