JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tume kuongeza mashine vituo vyenye watu wengi

Na Mwandishi Wetu TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi imesema itaongeza mashine za BVR na watendaji katika vituo ambavyo vimebainika kuwa na watu wengi ili kufanikisha uandikishaji na uborteshaji wa taarifa katika Daftari la Kudumu lka Wapiga Kura mkoani Dar…

Rais Dk Samia ametimiza ahadi zake kwa Watanzania-Majaliwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan madarakani ameweza kutekekeza miradi yote ya kimkakati iliyoasisiwa na watangulizi wake  ikiwemo  ya Rais wa Awamu ya Tano, Dkt. John Pombe Magufuli. Amesema kuwa Mheshimiwa…

Majaliwa : Toeni mafunzo yanayozingatia soko la ajira

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wadau wa elimu na mafunzo ya ufundi stadi nchini watoe mafunzo yanayozingatia mahitaji halisi ya soko la ajira. “Mahitaji ya soko la ajira tutayajua kwa kufanya tafiti za mara kwa mara kwa ushirikiano…

Wasira amchongea ‘Mo Dewj’ kwa Serikali

*Ni baada ya wananchi kulalamika yametekelezwa muda mrefu, yamegeuka maficho ya nyoka *Asema kama ameshindwa kuyaendeleza Serikali iyatumie kwa matumizi mengine *Pia atoa siku 14 kwa mnunuzi wa kahawa kulipa sh milioni 664 za wakulima Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar…

Lukuvi : Serikali itaendelea kumuenzi hayati Rais Magufuli

Serikali imesema itaendelea kumuenzi Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk John Magufuli. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi ametoa ahadi hiyo kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan. Lukuvi alitoa ahadi…

Maeneo ya kijamii yamepewa kipaumbele kufikiwa na umeme – Kapinga

Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini umetoa kipaumbele kwenye maeneo yanayotoa huduma za kijamii ikiwemo Shule, Taasisi, vituo vya afya, zahanati na maeneo ya visima vya maji kwa sababu ni maeneo yanayotoa huduma kwa…