Latest Posts
Almasi, dhahabu yaipaisha Shinyanga, fursa bado zipo njooni – Mapunda
🟠Yafikia asilimia 82 ya lengo ukusanyaji maduhuli · Fursa bado zipo njooni – Mapunda Na Mwandishi Wetu, JamhuriMdia, Shinyanga MAKUSANYO ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini katika Mkoa wa Shinyanga yatokanayo na mrabaha, tozo na ada mbalimbali kwa…
Urusi yakubali kumaliza vita Ukraine
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amesema kuwa nchi yake iko tayari kusitisha mapigano na Ukraine, lakini anasisitiza kuwa suluhisho hilo lazima lilete amani ya kudumu na kushughulikia chanzo halisi cha mgogoro huo. Putin aliyasema hayo wakati wa mkutano na waandishi…
Kamati ya Bunge yaridhishwa utekelezaji mradi wa umwagiliaji Nyida, Shinyanga
Ni mradi wa Umwagiliaji unaotekelezwa na Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) NIRC Shinyanga Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara Kilimo na Mifugo imeridhishwa na utekelezaji wa miradi inayofanywa na Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), ikiwemo ujenzi…
Waziri Ndumbaro awashangaa wadhamini wa taasisi wasio na weledi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Sheria na Katiba Dkt.Damas Ndumbaro amewashangaa baadhi ya wadhamini wa taasisi, zikiwemo za kidini, ambao hawatimizi majukumu yao kikamilifu na wanatumia mali za taasisi zao kwa maslahi binafsi. “ Hivi karibuni,…
Rais Mstaafu Kikwete aenda Japan kwa ziara maalum yenye lengo la kuimarisha elimu
Rais mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Elimu la Kimataifa (GPE), yupo Tokyo nchini Japan kwa ziara maalum yenye lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya GPE na serikali ya Japan katika kutatua changamoto za…





