JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Vijana wawatupia lawama Wachina

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mkuranga Baadhi ya vijana walioajiriwa katika viwanda vinavyomilikiwa na raia wa China wilayani Mkuranga, Pwani wameeleza changamoto wanazokutana nazo kazini, ikiwamo ukosefu wa mikataba, vifaa vya kujikinga pamoja na unyanyasaji wa kijinsia. Wakizungumza kwa nyakati tofauti,…

Serikali itaendeleza mikakati ya kukuza sekta ya mifugo- Majaliwa

 *Asisitiza kuwa mifugo ni uchumi, ajira na biashara *Atoa wito kwa wakulima na wafugaji wawe wamoja WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha sekta ya mifugo inakuwa endelevu na yenye tija. Amesema kuwa Mheshimiwa…

PIC yaridhishwa na kasi ya ujenzi uwanja wa ndege Msalato

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato na kusema kuwa, uwanja huo ukikamilika utakuwa lango la uchumi kwa wananchi wa Dodoma na…

Ukraine yakubali pendekezo la usitishaji mapigano

Maafisa wa Marekani na Ukraine wamefanya mazungumzo ya usuluhishi wa mzozo kati ya Urusi na Ukraine mjini Jeddah, Saudi Arabia, katika juhudi za kusisitisha vita. Ukraine imelikaribisha pendekezo la Marekani la kusitisha mapigano kwa siku 30 katika vita na Urusi…

Kapinga azindua namba ya bure yabhuduma kwa wateja TANESCO

📌Awapongeza TANESCO kutekeleza agizo la Mhe. Dkt. Biteko kuwataka kuanzisha namba ya huduma kwa wateja bure 📌Asema namba hii ya 180 ya bure kwa wateja kuimarisha huduma kwa wateja na kutatua changamoto zao 📌Awaagiza Mameneja wa Mikoa na wilaya wa…

Dk Biteko mgeni rasmi mkutano wa 62 wa Bodi ya EITI Arusha

Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dokta Doto Mashaka Biteko anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa mkutano wa 62 wa bodi ya EITI utakaofanyika katika hoteli ya Gran Melia iliyopo jijiji Arusha kesho….