JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

TANROADS Ruvuma yaanza ujenzi daraja la Mitomoni litakalowaunganisha Nyasa na Songea

Na Mwandishi Wetu, Songea WIZARA ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS)Mkoa wa Ruvuma, imeanza ujenzi wa daraja la Mitomoni katika Mto Ruvuma lenye urefu wa mita 45 ambalo litaunganisha Wilaya ya Nyasa na Songea. Meneja wa TANROADS Mkoani…

MSD yazidi kuimarisha usambazaji wa dawa nchini

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Serikali imesema inaendelea kuimarisha upatikanaji wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi nchini ambapo kwa kipindi cha miaka minne idadi ya vituo vinavyohudumiwa na MSD imeongezeka kutoka 7,095 mwaka 2021/22 hadi kufikia 8,776 mwaka 2024/25. Idadi hiyo ni…

SELF Microfinance : Huduma za kifedha bado ni eneo linalohitaji kuwekewa mkazo hasa mikopo

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa SELF Microfinance, Santieli Yona amesema huduma za kifedha bado ni eneo linalohitaji kuwekewa mkazo hasa katika kutoa elimu kwa jamii. Amesema kuwa mfuko wa SELF Microfinance ni mfuko uliyo…

CCM Arusha watangaza majina ya wagombea udiwani Jimbo la Arusha Mjini

Na Happy Lazaro, Arusha Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha leo limetangaza rasmi majina ya wagombea wa nafasi za udiwani kwa Jimbo la Arusha Mjini, baada ya kukamilika kwa mchakato wa kura za maoni na kupitia taratibu za chama….

Elimu ya nishati safi ya kupikia yawafikia wanawake Mbeya

📌 Ni kupitia Kongamano la Wanawake na Fursa za Kiuchumi 📌 Wizara ya Nishati yasisitiza matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ili kulinda afya na mazingira Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetoa wito kwa wananchi…

Media Brain yawashauri waandishi wa habari kusoma nyaraka za sheria za uchaguzi

Na Aziza Nangwa, Dar es Salaam Waandishi habari wametakiwa kusoma nyaraka mbalimbali za Sheria ya Tume huru ya Taifa na Sheria ya Uchaguzi Rais,Wabunge na Madiwani 2024 na marekebisho ya sheria ya vyama vya Siasa ili waweze kuandika habari zenye…