JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wasira : Chama kitaendelea kusimama imara na kuleta maendeleo

Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema Chama kitaendelea kusimama imara kuwaletea maendeleo Watanzania kwa kuwa ndilo jukumu lake la msingi. Aidha, amewataka wana CCM kutambua kuwa uchaguzi una gharama na moja…

Wanafunzi sekondari Mnazi Mmoja washauriwa kuwa mabalozi wa haki za mlaji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam TUME ya Ushindani (FCC) leo Machi 26, 2026 imetoa elimu kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mnazi Mmoja iliyopo jijini Dar es Salaam kuhusu kumlinda mlaji, ikiwemo haki na wajibu wa mlaji pamoja…

PDPC kuchukua hatua kali kwa taasisi zinazokusanya taarifa binafsi zisizosajiliwa

Zimesalia siku chache kabla ya kufikiwa kwa ukomo wa usajili wa hiari kwa taasisi zinazokusanya na kuchakata taarifa binafsi nchini. Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imetangaza kuwa ifikapo tarehe 9 Aprili mwaka huu, itaanza kuchukua hatua kali za…

Rais Dk Samia akishiriki Kikao cha Baraza la Uongozi la Umoja wa Afrika njia ya mtandao

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Makamu wa Pili wa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), akishiriki Kikao cha Baraza la Uongozi la Umoja wa Afrika (African Union Bureau of Assembly)…

Tanzania na Urusi kuimarisha ushirikiano katika teknolojia za kisasa ili kukuza diplomasia ya uchumi

Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), ameshiriki katika hafla ya utiaji saini wa Hati ya Makubaliano (MoU) kati ya Taasisi ya Innopraktika kutoka nchini Urusi yenye muunganiko wa makampuni zaidi…