Latest Posts
TAKUKURU Mwanza yadhibiti zaidi ya mil. 85/- malipo ya walimu 77
TAKUKURU Mkoa wa Mwanza imefanikiwa kudhibiti fedha kiasi cha Shilingi Millioni 85,006,000 fedha ambayo ni madai ya walimu wa shule za sekondari katika Halmashauri ya jiji la Mwanza, madai ambayo yalicheleweshwa kwa zaidi ya miezi sita. Mafanikio haya ni baada…
PPAA kuimarisha uwazi ,ufanisi usimamizi rufaa za zabuni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma KATIBU Mtendaji wa Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA), James Sando, amesema mamlaka hiyo imeendelea kuimarisha uwazi na ufanisi katika usimamizi wa rufaa za zabuni kwa kutumia mifumo ya kidijitali, hatua inayolenga kuongeza…
Wananchi Peramiho, Shiwinga kupiga kura kesho kuchagua mbunge, diwani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ruvuma Wapiga Kura 127,632 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura watashiriki katika uchaguzi wa kuchagua Mbunge katika Jimbo la Peramiho lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Songea, Mkoa wa Ruvuma na Kata ya Shiwinga iliyopo…
Japan kupeleka makombora kwenye kisiwa karibu na Taiwan
Waziri wa ulinzi wa Japani amesema anapanga kupeleka makombora kwenye kisiwa chake cha magharibi karibu na Taiwan ifikapo Machi 2031, huku mvutano wa kikanda ukiendelea. Ni mara ya kwanza kwa Japani kubainisha ratiba ya kupelekwa kwa kombora katika kisiwa cha…
RITA yavunja bodi ya wadhamini Kanisa la Waadventista Wasabato
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imeivunja rasmi Bodi ya Wadhamini ya Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania kufuatia kubainika kwa mapungufu makubwa katika usimamizi wa mali na utekelezaji wa majukumu ya taasisi hiyo. Hatua…





