Latest Posts
Balozi Nchimbi atoa wito kwa vyombo vya habari kuzingatia weledi kuelekea uchaguzi mkuu
Ahimiza mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita kutangazwa kwa wananchi Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amevitaka vyombo vya habari vinavyomilikiwa na chama hicho kuzingatia weledi, hasa kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka…
Sheikh Ponda ajiunga rasmi na ACT -Wazalendo, alilia Utawala Bora na Katiba Mpya
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, amejiunga rasmi na Chama cha ACT Wazalendo ambapo amesema hatua yake ya kujiunga na chama cha siasa inalenga kupata jukwaa la…
Wazee wamshukuru Rais Samia kuboresha huduma kwa ustawi wao
Na WMJJWM-Dodoma Wazee wameshukuru Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuweka mazingira mazuri katika utoaji wa huduma za Afya kwa wazee na masuala mengine ya Ustawi wao. Kauli hiyo imetolewa na Kiongozi Mkuu…





