Latest Posts
Jeshi la Polisi latoa tahadhari kuelekea mechi ya Simba na Yanga
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia,Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema litachukua tahadhari zote za kiusalama kabla, wakati na baada ya mchezo Usalama utakuwa wa kiwango cha juu siku ya mchezo wa mpira wa miguu kati…
Kayoko akabidhiwa Simba vs Yanga
Na Isri Mohamed BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtangaza mwamuzi Ramadhan Kayoko kutoka Dar es Salaam kuwa refa atakayesimamia sheria 17 za mchezo wa soka kwenye Derby ya Kariakoo itakayopigwa Jumamosi, Oktoba 19, 2024 katika dimba la Benjamin Mkapa….
Wabunge wa EALA watakiwa kuweka maslahi ya umma mbele – Balozi Kombo
Wabunge wa Tanzania kwenye Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki wamesisitizwa kuyabeba majukumu waliyopewa kwa uzito unaostahili, huku wakiweka mbele maslahi ya umma wakati wanatekeleza majukumu yao. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika…
Balozi Nchimbi ajiandikisha kupiga kura Serikali za Mitaa, atoa wito watu kujitokeza kwa wingi
Na Mwandishi Maalum, Dodoma Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amejiandikisha kwenye daftari la wakazi katika mtaa wake, eneo la Kilimani, jijini Dodoma leo tarehe 18, Oktoba 2024. Akizungumza baada ya kujiandikisha, Balozi Nchimbi…
Kampeni ya ‘Tuwaambie Kabla Hawajaharibiwa’ yazinduliwa
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed leo amezindua kampeni ya ‘Tuwaambie Kabla Hawajaharibiwa” yenye lengo la kuwaelimisha jamii kuhusu maswala ya ukatili wa kijinsia pamoja na kutoa taarifa kuhusu vitendo vya uhalifu…
Mufti awataka wananchi wajitokeze kujiandikisha daftari la wapiga kura
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Alhaj Dkt Abubakar Zubeiry bin Ali amehimiza wananchi nchini kote kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ili waweze kutimiza haki yao kikatiba ya kuwachagua viongozi…