JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wanafunzi 2,328 wafanyiwa uchunguzi magonjwa ya moyo Kibaha

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kibaha Wanafunzi 2,328 kutoka Shule ya Msingi Mailimoja na Sekondari ya Bundikani zilizopo Wilaya ya Kibaha mkoa wa Pwani wamefanyiwa uchunguzi wa awali wa magonjwa ya moyo. Upimaji huo umefanyika katika kambi maalumu ya siku mbili…

Viongozi 20 wa dunia wakutana China

Rais wa Urusi, Vladimir Putin, na Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi, wako miongoni mwa viongozi 20 wa dunia wanaohudhuria kilele cha usalama wa kikanda nchini China. Kabla ya mkutano wa kila mwaka wa Shirika la Ushirikiano wa Shanghai (SCO)…

CHAUMMA, CUF kuzindua kampeni za urais leo

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kinatarajia kuzindua kampeni za mgombea wake wa urais, Salum Mwalimu, pamoja na mgombea mwenza wake Devotha Minja, jijini Dar es Salaam leo. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Habari na Taarifa kwa Umma wa CHAUMMA,…

Urusi yaishambulia Ukraine kwa zaidi ya droni 100

Jeshi la anga la Ukraine limesema, vikosi vya Urusi viliishambulia nchi hiyo usiku kucha huku milio ya mabomu ikisikika pia katika maeneo mengine ya nchi. Zaidi ya droni 100 zilionekana zikiruka sehemu tofauti za nchi, huku jeshi la anga likijaribu…

CUF yaahidi kutoa matibabu na elimu bure 

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Chama cha Wananchi CUF, kimesema endapo kitapewa ridhaa ya kuongoza nchi kitahakisha kinatoa huduma ya matibabu bure kwa wananchi wote katika hospitali za Serikali. Pamoja na kutoa elimu bure kuanzia ngazi ya awali mpaka chuo…