Latest Posts
CAG : Mashirika kadhaa ya umma yamesaini mikataba bila kufuata ushauri wa kisheria
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amebaini kuwa mashirika kadhaa ya umma yamesaini mikataba yenye thamani kubwa bila kufuata ushauri wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali wala maafisa wa sheria wa ndani. Mikataba hiyo, yenye jumla ya thamani…
Wasira akutana na Protase Kardinali Rugambwa
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Muadhama Kadinali Protase Rugambwa katika Jimbo Kuu Katoliki la Tabora. Wasira amekutana na Protase Kardinali Rugambwa. leo Aprili 16, 2025 katika Jimbo Kuu Katoliki…
Haya ndio mashirika 10 yaliyopata hasara
Ripoti Kuu ya Mwaka ya Ukaguzi ya Mashirika ya Umma kwa mwaka wa fedha 2023/2024 CAG imebainisha kuwa mashirika 19 ya umma ya kibiashara yameendelea kupata hasara, huku mashirika 12 yakipata hasara kwa miaka mitatu mfululizo. Kwa mujibu wa ripoti…
Waziri Kombo afanya mazungumzo na bandari ya kimataifa ya Antwerp
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mshariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ametembelea na kufanya mazungumzo na timu ya uongozi wa Bandari ya Kimataifa ya Antwerp iliyopo nchini Ubelgiji ukiongozwa na Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Bandari hiyo…
Mwanafunzi ajifungua na kumtupa mtoto chooni, aokolewa na kukabidhiwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rukwa Jeshi la Polisi mkoani Rukwa linaendelea kufanya uchunguzi wa kina juu ya binti ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha nne (18) wa shule ya sekondari Nkasi ambaye amejifungua na kumtupa mtoto chooni . Akizungumzia tukio…
Wanachama vyama vya ushirika wasiwe waoga kufichua viongozi wabadhilifu- Haule
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia, Pwani Wanachama wa vyama vya ushirika nchini wametakiwa kutokuwa waoga kuwabainisha viongozi wabadhilifu ili kusaidia kuleta uhai na ustawi wa vyama vya ushirika. Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania, Tito Haule, alitoa rai hiyo wakati…