Latest Posts
Waziri Mkuu : Maofisa mawasiliano jengeni utamaduni wa kufanya tafiti kupata takwimu
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka watayarishaji wa vipindi vya elimu kwa umma kupitia Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wahakikishe kila wakati wanafanya utafiti na kupata takwimu sahihi. “Maofisa Mawasiliano wote jengeni utamaduni wa kufanya tafiti, kupata takwimu sahihi kabla…
Tanzania na IFC zajadili ushirikiano sekta ya umma na sekta binafsi kwa maendeleo ya nchi
Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Serikali ya Tanzania imerejea tena dhamira yake ya kushirikiana kwa karibu na Shirika la Fedha la Kimataifa (IFC) ili kuongeza uwekezaji wa sekta binafsi, kupanua miundombinu na kuharakisha Mpango wa Taifa wa mabadiliko ya…
Watumishi FCC watoa elimu ya haki za mlaji Mara
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mara WATUMISHI wa Tume ya Ushindani Ofisi ya Kanda ya Ziwa wametoa elimu kwa wadau mbalimbali, wakiwemo wanafunzi, waandishi wa habari na wafanyabiashara, walipotembelea Banda la Kliniki ya Walaji katika Manispaa ya Musoma Mkoani Mara. Banda…
Dk Dugange afungua kongamano la nishati safi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali imehimiza kuwa miradi ya maendeleo katika maeneo mbalimbali nchini itekelezwe kwa misingi ya uhifadhi, usimamizi wa mazingira na ushirikishwaji wa jamii za wenyeji ili kulinda urithi wa nchi. Hayo yemesemwa na Naibu…
TAKUKURU yawafikisha mahakamani wawili kwa tuhuma za rushwa na uhujumu uchumi Tanga
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema watu wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Muheza mkoani Tanga wakikabiliwa na tuhuma za rushwa na uhujumu uchumi. Kwa mujibu wa taarifa ya TAKUKURU, washtakiwa…





