Latest Posts
Rais Samia aipongeza Zanzibar Heroes
Repost from @samia_suluhu_hassan Ninaipongeza Zanzibar Heroes kwa kufanikiwa kufika hatua ya fainali ya Mashindano ya Kombe la Mapinduzi. Mmejitoa, mmejituma na sote tunajivunia safari yenu hadi sasa. Mchezo huu wa fainali ni nafasi ya kipekee kwenu kuandika historia, nasi tuko…
Mwanamuziki wa injili Rehema Simfukwe atoboa siri sababu kutunga wimbo wa Chanzo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MWANAMUZIKI maarufu katika Muziki wa Injili nchini Rehema Simfukwe amevunja ukimya kwa mara ya kwanza kwa kuamua kutoa sababu za kutunga wimbo wa Chanzo ambao umekuwa ukipendwa na kuvuta hisia za watu wengi…
Watoto mapacha wamuua mama yao mzazi
Watoto mapacha wawili Danford Steven Seif (24) na Daniel Steven Seif (24) wanadaiwa kumuua mama yao Upendo Mathew Mayaya (42) kwa sababu ya imani za kishirikina. Jeshi la Polisi mkoani Mtwara limethibitisha kuwakamata na kuwafikisha mahakamani mapacha hao ambao wote…
Waliokaidi ukaguzi magari ya shule wakamatwa Arusha
Na Mwandishi Jeshi la Polisi, Arusha Jeshi la Polisi kikosi cha usalama Barabarani kimesema kuwa baada ya kuhitimisha zoezi la ukaguzi wa magari ya shule (School Bus) kwa kipindi cha likizo ambacho kilitangazwa ili kuondoa usumbufu kwa wanafunzi wanaotumia vyombo…
Bilioni 5 kujenga soko la kimataifa Missenyi
Na Egbart Rwegasira, JamhuriMedia, Missenyi Halmashauri ya Wilaya Missenyi mkoani Kagera iko kwenye hatua za mwisho kuanza ujenzi wa soko kubwa litakalounganisha wafanyabiashara wa Afrika Mashariki katika Eneo la Bunazi Kibaoni. Akiwasilisha taarifa ya upembuzi yakinifu na usanifu wa soko…
Baba atuhumiwa kuua watoto wawili
Na Mwadishi Wetu, JamhuriMedia, Songwe Jeshi la Polisi mkoani Songwe limewakamata watuhumiwa wanne ambao ni Junge Jilatu na wenzake watatu wakazi wa Kijiji cha Namsinde, Kata ya Mkulwe kwa tuhuma za mauaji ya watoto wawili. Taarifa iliyotolewa jana na Kamanda…





