JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wazima moto wapambana kuzuia moto mkubwa Los Angeles

MAELFU ya watu waliolazimika kuondoka katika makaazi yao kutokana na moto mkubwa mjini Los Angeles, Marekani hawatarejea kwenye makaazi yao kwa angalau siku nne zijazo. Mkuu wa kikosi cha zima moto wa Los Angeles Anthony Marrone amesema upepo mkali unaovuma…

-Tanzania ipo tayari kupokea wakuu wa nchi Afrika katika mkutano wa Nishati wa Mision 300′

📌 Aliambia Jukwaa la IRENA UAE kuwa Tanzania imejipanga vema kwa ujio huo. 📌 Asema Tanzania imerekehisha sheria ya uwekezaji kuruhusu sekta binafsi kutekeleza miradi 📌 Nchi wanachama IRENA wataka wabia wa maendeleo kuwekeza kwenye miradi ya nishati ambayo ni…

Matumizi ya Baruti yaongezeka nchini

• Mhandisi Lwamo ataka udhibiti madhubuti kuepusha maafa • Watakiwa kusimamia sheria, sera, kanuni, Na Mwandishi Wetu, JakhutiMedia, Dodoma MATUMIZI ya Baruti nchini yameongezeka kutoka wastani wa tani 3,000 kwa mwaka katika miaka ya 1990 hadi kufikia wastani wa tani…

Wananchi wampongeza Rais Samia kufikisha umeme vituo vya afya vijijini

Wananchi katika Wilaya ya Uyui, mkoani Tabora wamempongeza na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kufikisha umeme kwenye vituo vya afya vijijini. Wamesema kuwa kufika kwa umeme kwenye vituo vya afya vijijini…

Simba yazidi kuchanja mbuga

Wekundu wa Msimbazi Simba SC imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kutoa sare ya bao moja kwa moja dhidi ya Fc Bravos do Maquis wakiwa ugenini nchini Angola. Bao la Simba…