JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Israel yashambulia miundombinu ya waasi wa Houthi

Israel imesema imefanya mashambulizi ya kulipa kisasi dhidi ya waasi wa Houthi wa nchini Yemen kwa kuyalenga maeneo kadhaa yenye mafungamano na waasi hao. Hayo yamejiri siku moja baada ya kundi hilo kufyetua kombora la masafa lililoanguka karibu na uwanja…

Gari la Papa Francis lageuzwa zahanati ya kuwatibu watoto wa Gaza

Moja ya magari yaliyotumiwa na Papa Francis kusalimia maelfu ya watu litageuzwa kuwa zahanati inayotembea ili kusaidia watoto wa Gaza. Shirika la hisani la Caritas linalosimamia mradi huo, lilisema gari hilo lililotumika wakati wa ziara ya marehemu Papa mjini Bethlehem…

Padri Dk. Kitima, Mdude: Tunakoelekea siko

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia,Dar es Salaam Wiki iliyopita imekuwa na matukio makuu matatu. Mawili ni ya kusikitisha, na moja ni la faraja kwa watumishi wa umma wa taifa hili kuongezewa mshahara. Nalazimika kuyachanganya matukio haya, maana safu hii hutoka mara…

Waziri Mkuu wa Romania ajiuzulu

Waziri Mkuu wa Romania Marcel Ciolacu amejiuzulu jana jioni, siku moja baada ya mwanasiasa wa upinzani wa mrengo mkali wa kulia kushinda duru ya kwanza ya uchaguzi wa marudio wa rais. Ciolacu alisema chama chake cha Social Democrats kinajiondoa kutoka…

Urusi, Ukraine zashambuliana licha ya juhudi za upatanishi

MAKUBALIANO kati ya Urusi na Ukraine yameendelea kushuhudiwa kutwa nzima jana Jumatatu na usiku wa kuamkia leo huku kila upande ukionesha ubavu kwa kushambulia ndani ya ardhi ya mwingine. Urusi iliishambulia mikoa miwili ya mashariki mwa Ukraine ikiwemo Sumy na…

Mathias Canal ashinda Tuzo ya Samia Kalamu Awards

Mwanzilishi na Afisa Mtendaji Mkuu wa WazoHuru Media Group Limited Mathias Canal ameshinda Tuzo mbili za SAMIA KALAMU AWARDS sekta ya ujenzi na chombo bora cha mtandaoni. Pamoja na zawadi ya Cheti, Ngao, Tsh Milioni 10, lakini pia Mathias Canal…