JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Shamrashamra za kampeni za mgombea urais CCM Buza

Matukio mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika uwanja wa TANESCO, Buza Jijini…

Muunganiko wa asasi za kiraia zawashauri wanawake kupiga lura Oktoba 29,2025

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMediaDar es Salaam Muunganiko wa asasi za kiraia zinazotetea makundi maalum ikiwamo wanawake, watoto na wenye ulemavu umeungana kuhimiza umma kuhusu ajenda muhimu ya ushiriki wa wanawake katika siasa na uongozi, sambamba na kuhimiza wanawake kujitokeza kupiga kura…

TCCIA kuendelea kutambua fursa za masoko kimataifa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMediaDar es Salaam Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema Wizara itaendelea kushirikiana kwa karibu na TCCIA kupitia jukwaa la diplomasia ya uchumi ili kuiunganisha na majukwaa ya kimataifa ya…

Samia: NHC imejipanga kujenga makazi bora ya wananchi

Na Kulwa Karedia, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amesema imejipanga vizuri kuboresha makazi ya wananchi. Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati akihutubia maelfu ya wananchi wa majimbo ya Kivule, Segerea,…

Mgombea udiwani ACT Wazalendo aahidi kuisuka upya Mabale, Misenyi kimaendeleo

Na Theophilida Felician, JamhuriMedia, Kagera Zikiwa zimesalia siku chache wananchi kutimiza haki na wajibu wao wakuwachagua viongozi wa udiwani, wabunge na Rais mgombea udiwani kata Mabale Jimbo la Misenyi mkoani Kagera kupitia tiketi ya ACT WAZALENDO Mhandisi Sweetbert Kaizilege John…