JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kamati ya siasa Pwani yaridhishwa na kuvutiwa na miradi ya Chalinze

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani KAMATI ya Siasa Mkoa wa Pwani imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Chalinze, ikieleza kuwa miradi hiyo imekuwa kichocheo cha ukuaji wa uchumi na kuongeza vyanzo vya mapato vya halmashauri hiyo….

Waziri Ndejembi atoa maelekezo mazito utekelezaji mradi Malagarasi MW 49 5 Kigoma

📌Hajaridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mkandarasi kwenye mradi 📌Aagiza ukaguzi maalum wa matumizi ya dola milioni 20 za malipo ya awali yaliyotolewa kwa mkandarasi kulinganisha na kazi zilizofanyika 📌Aelekeza kuondolewa mara moja kwa meneja wa mradi upande wa mkandarasi…

OLE Millya awataka wafugaji walinde ardhi yao

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simanjiro NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, James Ole Millya ameiaka jamii ya kifugaji kulinda na kuitunza ardhi yao na kuepuka uuzaji holela wa ardhi. Ole Millya ambaye pia ni Mbunge…

Waziri Kombo ashiriki mkutano wa dharura Kamati ya Mawaziri SADC -MCO Kenya

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi, na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC-MCO),…

Wamiliki viwanda vipya watakiwa kuajiri wazawa kukuza biashara na uchumi

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga, amewashauri Wamiliki wa Viwanda vipya Kutoa kipaumbele kwa wazawa katika ajira ili kukuza uchumi na mapato ya Taifa kwa ujumla. Akizungumza wakati wa akifungua wa Kiwanda kipya cha kutengeneza tambi za papo…