Latest Posts
Waziri Israel atishia kuzidisha mashambulizi Ukanda wa Gaza
Waziri wa ulinzi wa Israel, Israel Katz ameapa kuzidisha mashambulizi ya Israel katika Ukanda wa Gaza ikiwa kundi la wanamgambo wa Hamas halitoacha kurusha maroketi kuelekea Israel. Waziri wa ulinzi wa Israel, Israel Katz ameapa kuzidisha mashambulizi ya Israel katika…
MGORORO WA FAMILIA…Kaburi la Jenerali lafukuliwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Musoma Katika tukio la nadra, mgogoro ulioibuka kwenye familia ya marehemu Meja Jenerali Prof. Dk. Yadon Kohi, umesababisha kufukuliwa kwa mwili wake na kuzikwa upya katika kitongoji kingine.Tofauti na mazishi ya awali yaliyopambwa na taratibu za…
Rais Samia ameweza, sasa tunaingia mwaka wa fitina
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Leo ni Desemba 31, 2024. Tunaumaliza mwaka. Ikiwa unasoma makala hii, basi ujue nawe ni mmoja wa wateule wa Mungu alioendelea kuwajalia pumzi. Ni vema na haki tumshukuru Mungu kwa kuendelea kutujalia uhai,…
Nani kuwa mrithi wa Kinana CCM
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam NANI atakuwa makamu mwenyeki ti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara ni swali ambalo limeku wa likiulizwa na makada wa CCM na hata wafuatiliaji wa karibu wa siasa nchini, hasa mwaka huu…
Bondia Mandonga atoa shukrani za dhati kwa Rais Samia kuuona mchezo wa ngumi
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMediaDar es Salaam BONDIA wa ngumi maarufu nchini Karim Mandonga amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa moyo wake wa upendo kuunga mkono mchezo wa ngumi na kuanza akitoa zawadi kwa washindi wa mapambano mbalimbali ili kuwapatia hamasa….
Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao yaweka tabasamu mwaka mpya 2025 kwa wenye ulemavu
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam TAASISI ya Mama Ongea na Mwanao, imemaliza Mwaka 2024 na kuukaribisha Mwaka wa 2025 Kwa kutoa misaada mbalimbali Kwa watu wenye ulemavu na mahitaji Maalum. Akizungumza jijini Dar es Salaam Desemba 31, 2024 hafla…





