JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mwili wa hayati Ndugai wawasili Kanisa la Mtakatifu Machel, Dinali ya Kongwa

Mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Ndugai ukiwasili katika Kanisa la Anglikana- Mtakatifu Machael, Dinari ya Kongwa Wilayani Kongwa mkoani Dodoma tayari kwa Ibada ya kumuaga leo 11 Agosti, 2025. Ibada hii…

Trump : Wasio na makazi waondoke mara moja Washington DC

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa watu wasio na makaazi lazima “waondoke” Washington DC huku akiapa kukabiliana na uhalifu katika mji huo. Trump alitia saini amri mwezi uliopita ili kurahisisha kuwakamata watu wasio na makazi, na wiki iliyopita aliamuru…

Watu 63 wafariki kwa utapiamlo Sudan

Utapiamlo umesababisha vifo vya watu 63 katika muda wa wiki moja pekee, wengi wao wakiwa wanawake na watoto katika mji uliozingirwa wa El-Fasher nchini Sudan ambako hali ya kibinaadamu inazidi kuwa mbaya. Taarifa hiyo imetolewa Jumapili (11.08.2025) na Afisa mmoja…

TRA yazindua kampeni ya elimu ya kodi kwa biashara za mtandaoni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua Kampeni ya Elimu ya Kodi kwa Biashara za Mtandaoni kwa lengo la kuhakikisha kila anayehusika na biashara hizo anajisajili ili aanze kulipa Kodi. Akizindua kampeni hiyo leo…

Mwili wa Ndugai wawasili Kongwa, wananchi wafurika kutoa heshima za mwisho

Mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Ndugai wawasili Kongwa, Viongozi mbalimbali na Wananchi wa Wilaya ya Kongwa wajitokeza kwa wingi kuaga mwili wa Spika Mstaafu Job Ndugai katika viwanja vya stendi ya…